Vita vya landrover freelander vinatafutwa

Vita vya landrover freelander vinatafutwa

Trainer

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
89
Reaction score
75
Mwenye Spare zifuatazo za landrover freelander (1998) anichek

Kioo cha mbele
Control box
Dash board
Taa za nyumba mbili moja ya juu nyingine ya chini
Cv joint
Brake system ,

Call /Whatsap 0782 049 547
IMG_4626.JPG
IMG_4627.JPG
 
Hapa JF wengi tupo wateja wa daladala hata BRT tunazikimbia, hivyo hayo maspare hatujui yapo wapi unless waibe wqkuuzie
 
Nipe direction, ilala ipi? , je huo mnada upo kila siku au ni baadhi ya siku
Kuna maduka mengi ya spea wale jamaa ni guru huwezi kukosa kitu chochote anzia karume pale then wao watakupa maelezo zaidi.
NB: tafuta mwenyeji wa dar atakuelekeza
 
Back
Top Bottom