Na hv mshahara umesoma? Nyumbani mpaka jumanne mshahara ukiisha 😳Huu ni wakati wa Balimi moto na baridi
Astaghifilullah!Uniachie masikio na miguu ustaadh.Ngoja nikale kitimoto kwanza akili ikae vizuri
Inauma.Kusikitisha iliishia jana.Inasikitisha sana
Hivi,bado hatukukubaliana kwamba liitwalo jeshi la wananchi ni jeshi la CCM?Jeshi la wananchi TZ halina hekaheka
Ccm hawana jeshi wana kamati roho mbayaHivi,bado hatukukubaliana kwamba liitwalo jeshi la wananchi ni jeshi la CCM?
Bila shaka Maalim, utakuta na mbavu mbili tatu Ustaadh, TAKBIRAstaghifilullah!Uniachie masikio na miguu ustaadh.
Wale waliomuomba Samia waanze kutukana wakosoaji?Ccm hawana jeshi wana kamati roho mbaya
Dah!Mwaka huu nisipootesha kitambi cha kuvalia kanzu na kizbao najiuzulu uweka-hazina.Bila shaka Maalim, utakuta na mbavu mbili tatu Ustaadh, TAKBIR