Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,987
- 23,312
Mjeda wa nchi gani?View attachment 3696968
Hapa ukute upo mbali na mtu wa medic alafu mmetanganishwa na line of fire, mguu lazima uoze aisee.
Kalambwa mapanga ya kutosha.
Gumboot ilimuokoa, vinginevyo wangeondoka na 'kanyagio' lote.