Pamoja kana kwamba anaweza kuwa kibaraka kama unavyosema wewe.Lissu hana nia ya dhati mnayozungumza
Yule ni Kibaraka tu anaetumika na Church de rome kulinda maslahi yao.
Wazee wako ccm kina Wasira au hujui 😃😃😂... Huyo hangaya atavuta hewa ya moto.Yaani upambane na mtu, akushinde halafu aliyekushinda maji ayaite mmaa! Akili za wapi hizo we mzee, mbona mnaanza kunyoosheana vidole mapema? Mara hii kamanda mbowe amekuwa joka la makengeza? Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe halafu mtegemee kupewa nchi..
Mna utoto sanaVita rasmi imeanza baina ya Wananchi na Serikali ya CCM
View: https://youtu.be/E9TxRNuyo6U?si=qPidZnRpyRsDoqI2
Nyie wananchi?? Unawasemea watu?Pamoja kana kwamba anaweza kuwa kibaraka kama unavyosema wewe.
Lakini nikuambie tu sisi wananchi ndio tunaotaka mabadiriko, zama zimebadirika sana sasa tunataka kiongozi ashide kwa kura za wananchi sio kuwekwa na chama chake.
Tuwe na tume huru ya uchaguzi.
Tuliwaahauri mapema hawakusikia. Na kabla mwaka haujaisha Chadema itakuwa kwishnei!!!Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Watakwambia akaze hapo hapo 😆😆Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Njaa 55 ni watimuliwe wote kwenye chamaBaada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Eti CHADEMA halisi. Chizi kweli.Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Jaziba sana, eiti #no reform no election 😛 CDM ataizika T.A.LissuBaada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
WaasiBaada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Waasisi wa hii vita ya kishamba ni mfariji wa mgonjwa anayeweza kuchati akiwa Icu na kwa ufadhili wa kirushwa rushwa pia ukiwahusu na g55 a.k.a mpox 55 kwa ufadhiliwa chama kiovu zaidi kinachofugachawa na kuamini katika rushwa.Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
Lissu na Lema ni wahamiajiEti CHADEMA halisi. Chizi kweli.
Hao waliokula pesa za Abdul ndio halisi? We ni kichaa au?Lissu na Lema ni wahamiaji
Tena wasakatonge waliotimuliwa nccr na Tlp
Mbona huko CCM mbona wanatenguliwa Kila wakati hamlalamikiBaada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea
Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.
Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati
Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.
Catherine Ruge Out.
Who Next??
GM Lindi Tanzania
UsichojuaHao waliokula pesa za Abdul ndio halisi? We ni kichaa au?
Sasa hao hata wakifukuzwa wana impact gani?? Kura zinapigwa na wananchi sio hao G55.Naweza kukutajia List ya Mapandikizi Chadema ukaishia kulia dogo
Hizo ni porojo tu na mpasuko huu wala amataamini
Baada ya Catherine Ruge CPA
Mfukuzeni Sugu, Wenje , Boni Yai
Wote hao wanapinga no Election
Myika kijana wa... Si mdebwedo?
Uwezu wenu wakujibu kwa hoja ni mdogo sana, akili zenu ni kama wanyama wa msituni, huwa anashambulia sababu ameshindwa kutafsiri image aliyoiona.Nyie wananchi?? Unawasemea watu?
Wewe pimbi acha kulala sebulini kwa shemj yako
Dada habari! I really miss you a lot.Sasa hao hata wakifukuzwa wana impact gani?? Kura zinapigwa na wananchi sio hao G55.