he mnashindana na bepari la kihaya sijui mmmhhh maana majigambo yao ni mwisho kha!!! Wanamaringo, majivuno, majigambo (hata kama hawana kitu chochote)..............
shemeji!!He mnashindana na Bepari la Kihaya sijui mmmhhh maana majigambo yao ni mwisho kha!!! wanamaringo, majivuno, majigambo (hata kama hawana kitu chochote)..............
ndo mana nakukubali sana nitts,uko juu kama li dreamliner,no wonder Vin Diesel alipoingilia anga zako kwa sweetlady nilipigana kishujaa hadi hiyo ngivi ikamwaga manyanga. Naamini kwa sasa your love life na SL ni murwa kabisa,msisahau kunitumia kadi ya mwaliko,nasikia resepsheni yetu itakuwa grumeti huko serengeti,dah kwa raha zenu.chezea muhaya we, alizaliwa kwenye madini akalelewa ndani ya BOT njoo tukagawie vijisenti kidogo upoze koho
ndo mana nakukubali sana nitts,uko juu kama li dreamliner,no wonder Vin Diesel alipoingilia anga zako kwa sweetlady nilipigana kishujaa hadi hiyo ngivi ikamwaga manyanga. Naamini kwa sasa your love life na SL ni murwa kabisa,msisahau kunitumia kadi ya mwaliko,nasikia resepsheni yetu itakuwa grumeti huko serengeti,dah kwa raha zenu.
Heheheheeeee Bishanga nashukuru sana kwa kuwa sasa niko mikononi mwa The secretary naenjoy maisha na chewhitewhen nothing goes right,go and fight bishanga!
hahahaha