Vita Kali ndani ya CHADEMA


Najua hii thread imerudishwa kimkakati.Nilikuwepo JF thread hii ilipoletwa 2007.

Leo umeirudisha kwa mkakati
 
Wacha na sisi tutafute thread zilizopita tuzirudishe hapa kama MODS hawataki kufunga hii tuone itakuaje
 
Hahahhahaha! :A S-confused1: Hii imerudi makusudi!!!
 
Hiki chama kimejaa Matapeli,Wazinzi,Wavuta bangi na Watu ambao elimu Yao ndogo ie.Mbowe,Lema,Mnyika,Sugu nk
 
Huyu Mtoto wa Mkulima si ndie amekuja kufahamika kwamba ni kiongozi ndani ya CHADEMA?
Kumbe alianza kitambo sana kukihujumu chama na viongozi wake!
 
Last edited by a moderator:
Waache tutakula nao sahani moja.Tutaingia Chimbo kurudi na thread zao

Pole sana kijana,mnazika lini?
Kuna vijana wengi hapa mtaani wamejitambua hawataki kutumika tena wanataka wakusaidie kubeba jeneza kwenda makaburini maana umebaki mwenyewe.

Mtazika Kilimanjaro au Kinondoni ufipa?
 
Mods hizi threads zinarudishwa makusudi kwa nia ovu na nyiny mnaangalia tu...!
 
Hapa Arusha kuna vimwana wa Mkuu wa Kaya kibao;wengine ni wafanya kazi wa hotelini amewaingiza kusoma ESAMI kwa kodi za wananchi,wengine wamefunga CCTV Mpaka getini wamemchuna mzee vyakutosha sasa ndio wamezinduka wanataka kuolewa;Mzee wa magogoni anafuatilia mabinti wadogo wenye makalio makubwa mpaka wao wenyewe wanakerwa na kuamua kutoa siri kwa wazazi wao.
 

mkuu wewe umemaliza huyu mleta mada ndo mzushi mwenyewe.
 
hyo ni tuhuma isiyo kua na mashiko couz aliyekua askofu mkuu wa jimbo lambulu alishajibu akasema ni uongo na kwa wakati huo aliku AskofuTHADEUS RWAICHI xo hoja yako haina strong point
 
Hiki chama kimejaa Matapeli,Wazinzi,Wavuta bangi na Watu ambao elimu Yao ndogo ie.Mbowe,Lema,Mnyika,Sugu nk

ni kweli mkuu hata ukimuangalia mwizi wa meno ya tembo yupo humu
 
wewe bubu ataka kusema. Nenda karatu na hanang kaulize hizi habari ndipo utajua hakuna njama yoyote ya ccm. Ni uchafu wake slaa. Vipi mbona imekuuma?
hahahaha na uchafu wake bado wananchi walikuwa wanampa kura nyingi tuu, elfu saba mna kazi/.
 
Sasa mimi pia naona hili jambo ni jambo la kibinafsi, shutuma zimetoka na wengine tukae kimya tuzisikilize, tutafakari, tuamini vile tunavyoona na kufikiri maana kuona pekee haitoshi kuamini! Slaa ndio ana majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…