Vita itasubiri sana bongo

Vita itasubiri sana bongo

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1413822015.912266.jpg
 
paka na panya wako kwenye mtumbwi mmoja
 
Lkn unaweza kuta ni wanachama wa Chadema hao wamevaa green Kama walivyofanya wakati Fulani Kule karatu walipokuwa wakisubiri matokeo ya kumtangaza mbunge wao (mh. Natse).....
Walikuwa wakisema hizi ni rangi tuu wajameni na si dhambi kutokelezea nazo .....
 
Umepotea njia rudi ulipoanzia safari Masterp.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom