MAN OF CHANGES
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 507
- 191
Kumekuwa na vita ya chinichini (cold war) kati ya ccm na wanafunzi wa udsm ambayo sasa imefikia hatua ya vita hiyo kuwa dhahiri,na huko tunapokwenda itakuwa kati ya wanavyuo wote TZ na ccm. Ni kwawida kwa chama hicho kuweka mapandikizi yake katika vyuo hasa Mzumbe ambapo wao wanaamini ndio viongozi bora wanatokea. Mapandikizi hayo huyafanya kwenye serikali za wanafunzi ambapo huakikisha kila mwaka rais wa TAHILISO anakuwa mtu na hasa atoke Mzumbe. Imeonekana udsm imekuwa kwazo kwa ccm kufukia malengo yao kwani kila raisi wa TAHILISO anapotoka ud basi cccm inaanza kukosa usingizi kwa kusumbuliwa na wanafunzi kwa kudai haki zao.Sasa tunaona jinsi wanavyotumia nguvu kubwa kuwanyamazisha wanafunzi hata kuwafukuza vyuoni. Na oda ya kuwafukuza wanafunzi ilituolewa na waziri wa elimu Shukuru Kawambwa alipotembelea vyuo vyote mwezi wa nane 2011 na alisema aliyeagiza ni waziri mkuu.NDUGU ZANGU WATANZANIA HAWA WATU WACHACHE WATATUTAWALA NA KUTUNYANYASA MPK LINI? VJN TUNASOMA,HAWATUANDAI KWA KUJIAJIRI, KAZI HAKUNA WAO WANAZIDI KUTAFUNA NCH SISI WANATUAMBIA AJIRA HAKUNA NA UCHUMI UMEYUMBA.WAO WANAJINUFAISHA NA JAMAA NA WATOTO WAO TU.INATOSHA
nonsense,maandamano ndio tija????acha upuuzi wewe Udsm wapuuzi sana hawataki usoma bali raha nyingi alafu pesa zikiisha matokeo yake wanaanza kudai mambo yasio natija,mie nimesoma pale miaka ya nyuma sana ka 90 na kitu hivi,hali haikuwa hivyo,stop talking NONSENSE SHIT.
CCM ni adui no moja wa elimu ya juu,serikali hi legelege na dhaifu kazi yake kubwa ni kuwagandamiza wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwanyima haki zao za msingi,ila mwisho wa CCM umefika.
nonsense,maandamano ndio tija????acha upuuzi wewe Udsm wapuuzi sana hawataki usoma bali raha nyingi alafu pesa zikiisha matokeo yake wanaanza kudai mambo yasio natija,mie nimesoma pale miaka ya nyuma sana ka 90 na kitu hivi,hali haikuwa hivyo,stop talking NONSENSE SHIT.
Unaakili kweli wewe,sdhani kama umesoma.Tafut historia ya migomo UD ujue ilianza lini.
Nepi kamtuma handsome na hojatete wako kazini jioni ikifika mkono unaenda kinywani