NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Jul 28, 2011 #41 Bora muungano uvunjwe-maana hauna faida yoyote ile-kuliko kuongeza gharama kwa watanganyika na kuchukua nafasi za kazi za watanganyika-let them go-kwa nini tuwabebe?wakwende zao huko-
Bora muungano uvunjwe-maana hauna faida yoyote ile-kuliko kuongeza gharama kwa watanganyika na kuchukua nafasi za kazi za watanganyika-let them go-kwa nini tuwabebe?wakwende zao huko-