Visiwani Kunani?

Visiwani Kunani?

Mkuu sijakuelewa! Kwani Tanganyika kuna sherehe za mapinduzi? Hivi na kule tulipata uhuru kwa mapinduzi? Sikuwepo wakati ule. Hemu nipashe kidogo.
Kula posho utumie zako
 
TUJITOKEZE KWA WINGI SIKU YA TAREHE 12/1/2026 AWAMU YA PILI YA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO ILI TANGANYIKA YETU TUIKOMBOE KUTOKA KWA MABEBERU WEUSI KUTOKA UNGUJA NA PEMBA
Nitarejea Tena na Tena kwa kile kionjo mlichokipata Watanganyika 29/10. Nina uhakika hakuna atakaerejea upuuzi ule warudi tu wenyewe kina Sarungi ambao wana kijiba Cha roho zidi ya Wazanzibari
 
Sijazoea kuwa ombaomba. Naomba nisaidie kwenye hili. Mwanzangu unajua mbinu nyingi na mambo mengi.
Screenshot_20260105-134554.png
 
nini kinaonyesha kwamba kinyonge mkuu?
Hujakataa hoja ya jamaa kuhusu hali ya kiafya ya mtumishi wa umma, ukaamua kumbadilishia kibao yeye. Umeifanya issue kuwa personal, wakati mlikuwa mnamuongelea mtumishi wa serikali.
 
Back
Top Bottom