Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Tafuta hela mkuu mbona ni kiasi kidogo sana..
Hujanielewa! Mimi naona kama hicho kiasi ni kidogo ina mimi nitoke Mlandizi hadi Kigali kwenda na kurudi bado kuna mizururo mingi huko Rwanda kwa kiasi hicho? Ndo maaana nawaza labda min -me anaongezea panapopelea.
 
Panavutia sana, na ni suggestion ya watu wengi mwkaa jana tulienda wakataka irudiwe na sehemu tutakazoenda ni pamoja

Je, uko tayari kwa adventure ya kipekee Kigali – Rwanda?
 
Kuna ile event huwa inafanyika Mwanza, waasisi wa event kama hiyo ni midnight vibes (Kenya) nayo huwa iko poa.
Ushawahi kuifuatilia? Seran
 
Hapana bado.. wanafanyia sehemu gani?
Mara nyingi inakuwa organized Capripoint…Huwa wana rotate. Jaribu kucheck TikTok midnight vibes (Kenya) ni 🔥🥰. Hiyo ya Mwanza bado sana.
 
Mara nyingi inakuwa organized Capripoint…Huwa wana rotate. Jaribu kucheck TikTok midnight vibes (Kenya) ni 🔥🥰. Hiyo ya Mwanza bado sana.
Capri-point kule chicken run? Sawa ntawachek shukran😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…