Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,516
Badala ya kuchochea uzalishaji Ili ichochee export sababu raslimali zetu ni dormant hazitumiki tungepata pesa nyingi Sana bila kutegemea kukopa Kama ndo chanzo cha mapato.Hawajui global economy inaendaje...most of these cronies commenting as a praise team hardly know anything about the global economy...waache wakope watajikuta hadi Lumumba inadaiwa...sioni hata strategies za kulipa deni la taifa kama biashara na viwanda vinakufa kila siku.
Kilimo tu kingemaliza shida ya ajira na kuongeza makusanyo ya Kodi.