Visima vya maji

Martin Mhina

Senior Member
Jul 24, 2013
169
37
TAWA WATER PROFESSIONALS
Ni Campuny bora inayojishuhulisha na uchimbaji Wa visima vya maji kwa bei rafiki kwa matumizi ya

1:Nyumbani

2:Umwagiliagi Wa mazao mashambani

Tawa Water professionals imerekebisha bei kwa kuzingatia viwango vya uchumi kwa Watanzania na mazingira kwa bei nafuu Watakuchimbia mpaka maji mengi na mazur yapatikane na Tutakufia popote ulipo hapa Tanzania.

Bei kwa maeneo ya Daressalaam kuchimbiwa mpaka maji yapatikane jumla Tsh 3200000/= na Kwa Mikoani Tuwafikia kwa bei Tsh 3600000/= na kutengenezewa karavati @ karavati Tsh 40000/=

KARIBUNI SANA

FIKA OFISINI KWETU TAZARA

MAWASILIANO ZAIDI,

0714994833
0788293736

Barua pepe martinimhina@gmail.com
 
Kwahyo sasa hivi sio tena kulipa kutokana na mita umbali wa upatikanaji wa maji ardhini?
 
Tunachimba mpaka tupate maji baridi yasikuwa na chumvi na tunatest Kama yanafaa kwa matumiz ya binadamu au wanyama karibu Sana mkuu
Ndugu bora kuongea ukweli ili isije baadae ikakupa tabu kauli yako. Wakati unachimba unajuaje kama ulipofikia ndipo kuna maji baridi? Kuhusu chumvi ni 50% kwa 50, unaweza kupata Maji ya chumvi au baridi kutegemeana na eneo. Hakuna sayansi ya kutambua maji ya baridi kabla kuchimba. ila baada ya kuchimba ndio utaweza kujua ubora wa maji na wingi wa maji.
 
TAWA WATER PROFESSIONALS
Ni Campuny bora inayojishuhulisha na uchimbaji Wa visima vya maji kwa bei rafiki kwa matumizi ya

1:Nyumbani

2:Umwagiliagi Wa mazao mashambani

Tawa Water professionals imerekebisha bei kwa kuzingatia viwango vya uchumi kwa Watanzania na mazingira kwa bei nafuu Watakuchimbia mpaka maji mengi na mazur yapatikane na Tutakufia popote ulipo hapa Tanzania.

Bei kwa maeneo ya Daressalaam kuchimbiwa mpaka maji yapatikane jumla Tsh 3200000/= na Kwa Mikoani Tuwafikia kwa bei Tsh 3600000/= na kutengenezewa karavati @ karavati Tsh 40000/=

KARIBUNI SANA

FIKA OFISINI KWETU TAZARA

MAWASILIANO ZAIDI,

0714994833
0788293736

Barua pepe martinimhina@gmail.com
 
TAWA WATER PROFESSIONALS
Ni Campuny bora inayojishuhulisha na uchimbaji Wa visima vya maji kwa bei rafiki kwa matumizi ya

1:Nyumbani

2:Umwagiliagi Wa mazao mashambani

Tawa Water professionals imerekebisha bei kwa kuzingatia viwango vya uchumi kwa Watanzania na mazingira kwa bei nafuu Watakuchimbia mpaka maji mengi na mazur yapatikane na Tutakufia popote ulipo hapa Tanzania.

Bei kwa maeneo ya Daressalaam kuchimbiwa mpaka maji yapatikane jumla Tsh 3200000/= na Kwa Mikoani Tuwafikia kwa bei Tsh 3600000/= na kutengenezewa karavati @ karavati Tsh 40000/=

KARIBUNI SANA

FIKA OFISINI KWETU TAZARA

MAWASILIANO ZAIDI,

0714994833
0788293736

Barua pepe martinimhina@gmail.com
Mkuu nimekusoma sana.
 
Nataka kuchimba kisima sehemu yenyewe maji yanapatikana 140m nayo ni 3.2m? Kama ndio kesho nataka uje uanze kuchimba na hiyo 3.2m including Pump?
 
wale wa goba mkipata maji mniambie mie kaa tomaso nione kwa macho
 
Mbona mleta mada hajibu? Jamani kuna matapeli humu Mi nawaonya tu
Mkubwa naandaa nondo zake huyu mchimbaji,soma comment yangu ya juu ya tatu kutoka comment yako,nilichimba naye huyu mtu,kwa sasa watu wachukue ushauri wako huu wakati nikiandaa ndondo za huyu mtu kuwaokoa wengine.
 
Mkuu tujuze yaliyokusibu ili tupate kunusurika. Maana nilihisi ni matapeli baada ya kuhitaji huduma, lakini akashindwa kunionyesha ofisi yao ilipo. Nilipo omba invoice hicho nilicholetewa ndio nilichoka kabisa. Nikasitisha zoezi.
 
Mimi nilichimba nae ila alichonifanyia ni Hatari kweli ,Jamaa wakishachukua kazi hawajali utapata maji au lah, ni madalali hawana hata spanner au hata dumu la kuweka mafuta,chukua taarifa ya hawali hii, kuna data zao nazikusanya zote niwaanike nishachukua hadi RB yao,kwa kifupi hawa ni madalali kama ukiwa makini ila ukiwa boya wanakupiga pesa halafu wanasepa wanakuachia zigo wewe ulimalize na mwenye mashine.....Nakusanya Data nitazimwaga zote NAWAOMBA WATU WA JF MSIFANYE KAZI NA HAWA JAMAA NI MATAPELI.
 
Mkuu tujuze yaliyokusibu ili tupate kunusurika. Maana nilihisi ni matapeli baada ya kuhitaji huduma, lakini akashindwa kunionyesha ofisi yao ilipo. Nilipo omba invoice hicho nilicholetewa ndio nilichoka kabisa. Nikasitisha zoezi.
Hawa MATAPELI wamenipa experience ya kuchimba kisima nita_share na watu ni jinsi gani ya kufanya ukitaka kuchimba kisima na changamoto zake,kisima changu nilichimba 142m.
 
Back
Top Bottom