Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,318
Huyo Martin ndio huyo huyo TAWA DRILLER.
UTALIZWA NDUGU HAO NI MADALI/MATAPELI WAMENIINGIZA HASARA KUBWA SANA NINGEKUWA SINA AKIBA BANK JAMAA WANGENIACHIA SHIMO TU LA MITA 100,KUWA MAKINI HUMU WANA ID NYINGI SANA WAKIJINADI NI MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI KUMBE NI MADALALI.Nahitaji kibaha kongwe inakuaje
We nae acha ulozi toka juu unasema utaweka utaweka c uweke sasa data tuone...Jf hatutak umbea u know...UTALIZWA NDUGU HAO NI MADALI/MATAPELI WAMENIINGIZA HASARA KUBWA SANA NINGEKUWA SINA AKIBA BANK JAMAA WANGENIACHIA SHIMO TU LA MITA 100,KUWA MAKINI HUMU WANA ID NYINGI SANA WAKIJINADI NI MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI KUMBE NI MADALALI.
NINA RB YAKE KUNA USHAHIDI NAKUSANYA NITAWEKA KILA KITU KUANZIA MWANZO HADI MWISHO,NITAWEKA HADI PICHA ZAO HADI SCREENSHOT ZA MAPATANO YETU NA PICHA ZA SITE YANGU.
KESI IPO POLISI NIMESAFIRI NIKIRUDI NATAKA NIMKAMATE ANILIPE EXTRA COST ZOTE NILIZOINGIA NA FEDHA YA PUMP KAKIMBIA NAYO NA NINA USHAHIDI WA SMS AKISEMA ATANILIPA KIDOGO KIDOGO.
NINA USHAHIDI WA SIMU ZOTE TULIZOPIGIANA NIMEZIPRINT KWENYE KARATASI.
Kama unaweka data we weka tu kaka,Huyo Martin ndio huyo huyo TAWA DRILLER.
We nae acha ulozi toka juu unasema utaweka utaweka c uweke sasa data tuone...Jf hatutak umbea u know...
Haaaaaa Shark sina laptop na nipo pori,docs zinahitaji ku_upload kwa laptop.Kama unaweka data we weka tu kaka,
Toka jana unatishia tu kua utaweka utaweka.
Au toka jana unaandika tu hizo data zao ni nyingi sana??
Jamaa ameweka bei hiyo ya 3.2m ni kama ulimbo ukienda nae pembeni ni majanga anaongeza kidogo kwenye PVC na Pump,analeta mashine site anakwambia toa mzigo ukitoa umeumia anachukua Chake cha juu na anampa mwenye mashine 1m basi nyingine utatoa wewe mpaka project iishe....Jamaa ni MATAPELI.Nilishangaa kuchimba kisima bei nafuu ivyo haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hatari wabongo tatizo tunapendaga kitonga ndiomana nishakutanaga nakesi sana zawatu wamefanyiwa water survey hewa tena wananipigia simu garama zako kubwa tumepata sehemu kupimakwa 150,000 sasa njoo utuchimbie unakwenda pale survey ina sema mita 70 maji unakuta mita 120 unanza mgogoro ambao hauna tija saivi kama survey alio pima hafamniki sichimbi kwakuwa kunakujiharibia jina nakujikosesha kazi kizembe
Isee hawa jamaa hawafai kabisa. Pole sana mkuu. Dawa yao wafunge kabisa. Mimi nina email yao na hicho kikaratasi walichonipa kama invoice ukihitaji ushahidi zaidi niambie.Mimi nilichimba nae ila alichonifanyia ni Hatari kweli ,Jamaa wakishachukua kazi hawajali utapata maji au lah, ni madalali hawana hata spanner au hata dumu la kuweka mafuta,chukua taarifa ya hawali hii, kuna data zao nazikusanya zote niwaanike nishachukua hadi RB yao,kwa kifupi hawa ni madalali kama ukiwa makini ila ukiwa boya wanakupiga pesa halafu wanasepa wanakuachia zigo wewe ulimalize na mwenye mashine.....Nakusanya Data nitazimwaga zote NAWAOMBA WATU WA JF MSIFANYE KAZI NA HAWA JAMAA NI MATAPELI.
Anaitwa Martin Mhina kuwa makini sana na hawa jamaaHuyo Martin ndio huyo huyo TAWA DRILLER.
Watu wanazungumzia kutapeliwa na wewe bado unatak kulizwa mkuu.Nahitaji kibaha kongwe inakuaje
Mkuu naomba details za jinsi ulivyofanikisha. Gharama n.kHawa MATAPELI wamenipa experience ya kuchimba kisima nita_share na watu ni jinsi gani ya kufanya ukitaka kuchimba kisima na changamoto zake,kisima changu nilichimba 142m.
Kinampanda ipo mkoa gani na wilaya gani? Je eneo lako ulishafanya survey?Mkuu naomba details za jinsi ulivyofanikisha. Gharama n.k
Nina shamba langu Kinampanda na ninatamani nifanye kilimo na ufugaji! nahitaji maji sana!
Iko Iramba, Singida. Maji ya uhakika yapo cuz nimeshuhudia maji yasiokauka katika urefu wa futi 12. Si nikipata meter 50 uhakika kabisa.Kinampanda ipo mkoa gani na wilaya gani? Je eneo lako ulishafanya survey?