Mathew 6: 24- No one can serve two masters; for either he will hate the one and love the other, or else he will be loyal to the one and despise the other. You can not serve God and mammon.
... :hand:
- Mmoja alifuta siasa za vyama vingi, na mwengine wakati wa utawal wake demokrasia ya vyama vingi imekuwa
- Mmoja anashindana na wagombea wa vyama vingine, mwengine alikuwa anagombea dhidi ya kivuli chake (yaani ndiyo na hapana)
- Mmoja alikuwa anagombea dhidi ya wagombea ndani ya chama chake kuwa mgombea wa CCM, mwengine alikuwa muda wote anagombea yeye pekee yake mpaka alipomwaga manyanga
- Mmoja anaongoza wakati vyama vya wafanyakazi viko huru wakati mwengine alivipiga marufuku vyama vya wafanyakazi
- Mmoja analumbana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi wakati mwengine aliwatia ndani viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi waliokuwa hawakubaliani naye.
- Mmoja anaenda safari za nje na kukutana na Watanzania wanaoishi huko wakati mwengine alikuwa hataki kuonana na hao Watanzania kwani wengi wao walikuwa ni wakimbizi wa kisiasa
- Mmoja hana hata mfungwa mmoja wa kisiasa wakati mwengine alikuwa amejaza jela za Tanzania kwa wafungwa wa kisiasa.
Kama mwinyi alikuwa Kichuguu, basi Kikwete ni kifusi tu.
pumba