Visible difference btn Kikwete and Nyerere

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Nyerere travelled more widely after retiring than he did when he was president of Tanzania.

This is unlikewise to Kikwete.
 
Mi sioni hata dalili za ufanano kati ya hawa watu wawili!..One is from the Planet Earth, while the other one is from the Planet Diclorodiphenyltrichloroethanyl!
 
Nyerere alitawala miaka 24 na ushee wakati JK miaka mitano ya kiama na safari kibao.

Nyerere alikuwa hana tamaa na tajiriko ya dhuluma kwa watanzania lakini JK akilala akiamka nafikiria namna ya kutudhulumu yeye na kikundi chake kidogo ndani ya CCM.

Kwenye Maandiko matakatifu imeandikwa yafuatayo:-

Mathew 6: 24- No one can serve two masters; for either he will hate the one and love the other, or else he will be loyal to the one and despise the other. You can not serve God and mammon.
 
Wake zao!! kuna tofauti kubwa kama vile nuru na giza..... Watoto zao, kuna tofauti kubwa kama nyeupe na nyeusi!!!!
 
Sijawahi kukiota, kukiona wala kusikia uzushi wa kitabu kilichotungwa na Kikwete
 
we hukumsikia anadai kuwa asiposafiri salma na ridhi watalaa njaa anenda kuiombea familia yake misaada huko nje msimlaumu sana
 
  1. Mmoja alifuta siasa za vyama vingi, na mwengine wakati wa utawal wake demokrasia ya vyama vingi imekuwa
  2. Mmoja anashindana na wagombea wa vyama vingine, mwengine alikuwa anagombea dhidi ya kivuli chake (yaani ndiyo na hapana)
  3. Mmoja alikuwa anagombea dhidi ya wagombea ndani ya chama chake kuwa mgombea wa CCM, mwengine alikuwa muda wote anagombea yeye pekee yake mpaka alipomwaga manyanga
  4. Mmoja anaongoza wakati vyama vya wafanyakazi viko huru wakati mwengine alivipiga marufuku vyama vya wafanyakazi
  5. Mmoja analumbana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi wakati mwengine aliwatia ndani viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi waliokuwa hawakubaliani naye.
  6. Mmoja anaenda safari za nje na kukutana na Watanzania wanaoishi huko wakati mwengine alikuwa hataki kuonana na hao Watanzania kwani wengi wao walikuwa ni wakimbizi wa kisiasa
  7. Mmoja hana hata mfungwa mmoja wa kisiasa wakati mwengine alikuwa amejaza jela za Tanzania kwa wafungwa wa kisiasa.
... :hand:
 
pumba
 
Back
Top Bottom