Gongo la mboto kuna kambi ya jeshi na kambi ya FFU na gereza kuu la Ukonga. bado husomeki.Nipo g.mboto maeneo ya kota ni muda mrefu isiku huu nasikia risasi na vishindo vizito ka mabomu......hii ni taadhari maana kwa mara ya mwisho kusikia sauti ka hizo asubuhi yake nikapata habari za staki shari polisi kuuawa na nini...mnaofahamu kinachotokea updates please
We lala tu!Pakikucha mimi ntakuwa nimelala
Isije ikawa wahindi na Halloween Yao.
Mkuu, huko kuna kota za Magereza, Kota za ATC za zamani, Kota za FFU, Kota za jeshi. Ulikuwa kota zipi?Nipo Gongo la mboto maeneo ya Kota ni muda mrefu isiku huu nasikia risasi na vishindo vizito ka mabomu. Hii ni taadhari maana kwa mara ya mwisho kusikia sauti ka hizo asubuhi yake nikapata habari za sStaki Shari polisi kuuawa na nini.
Mnaofahamu kinachotokea updates please
Kota yangu ni ile ambayo nikifika mombasa napanda daladala la kuingia ndani then nashuka kituo kinaitwa kota