balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,507
- 15,125
- Thread starter
- #41
Wanajiona wanajua kila kitu.Naulizia hiki kina chat ya PRITOMhao wanalopoka tu, walitolewa koki na ticha wanavaa pampasi,
Wanajiona wanajua kila kitu.Naulizia hiki kina chat ya PRITOMhao wanalopoka tu, walitolewa koki na ticha wanavaa pampasi,
Wezi hao ,wameiibia umma mtumishi Gani mwiziSio mali ya uma mkuu kuna watu wamestaf wameondoka navyo. Mimi cha kwangu nimempa mwanangu anachezea game
Hujaninunulia simu jirani...nitapyatila through what.Asante SamiaMpe cha kwako jirani...
Lkn wamekabidhiwa na wameamviwa wakistaafu wanarejesha....kwa hii kasi ya technology sidhani hata vita exist 5 coming years!!
Nahisi Kuna teacher kishkwambi Chake kinaliwa kichwa. Lkn wamevusajili serial number na imei number Mzee kinajulikana. Vimesajiliwa hadi Kwa NIDA number za uraia ya mhusika(t3acher).
yaani serikali inauwezo wa ki allocate. Hata ukikifukia sehemu.
ushauri wangu ni Kaa mbali na kishkwambi Cha mwalimu



