Vishikwambi…

Naomba mweye kujua Bei ya vishikwambi walivyopewa walimu shilingi ngapi aniambie.Kuna jamaa mmoja alinambia eti vinauzwa laki mbili Zanzibar.Je,ukweli ni upi?
Kishikwambi ndio nini? Ni Tablet au ndio kitu gani hicho?
 
Uzi wa vishikwambi ni mwiba, huu uzi hautadumu utaondolewa
 
Kuna teacher umemuacha kishikwambi chake nini? Siyo vizuri bods tafadhali mrudishie
Nahisi Kuna teacher kishkwambi Chake kinaliwa kichwa. Lkn wamevusajili serial number na imei number Mzee kinajulikana. Vimesajiliwa hadi Kwa NIDA number za uraia ya mhusika(t3acher).

yaani serikali inauwezo wa ki allocate. Hata ukikifukia sehemu.

ushauri wangu ni Kaa mbali na kishkwambi Cha mwalimu
 
Kishikwambi ni kama vitabu tu ni Mali ya serikali japo msimamiz n mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…