Visa vya wanawake katika mahusiano

Ungeweka sura ya kazi, uulize kakupeleka kote huko, "atatoa hatoi" hiyo pad alikudanganya tu
Kuna wengine kama mimi hatupatani na zile damu kabisa, ila Eve hiyo avatar inanikumbusha maandamano ya kupanda minazi kwa mguu mmoja wakati yamekatazwa.
 
Mkuu ina mana cku zote hukupga hata touch?
 
Ngoja nicheke alafu narudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani toka kumekucha hii ni furaha yangu ya pili khaaa pole mnoo but alikuweza!!!!!

Yani maana yke huyo hakuwa na hisia na wewe
 
Ungeweka sura ya kazi, uulize kakupeleka kote huko, "atatoa hatoi" hiyo pad alikudanganya tu
Hapana hakunidanganya katika hilo..nilithibitisha nilipoenda washroom baada ya yeye kutoka..siunajua vyoo vya lodge ni vyeupe ..nilipata kuona blood clots..nadhani alienda badili pad huko sasa hakuflash vyema pad.
 
Inaonekana wewe jamaa ni descent sana. Huyu angekutana na nyang'au asingekaa akasahau maisha yake yote.
Nakubaliana na wewe mkuu..ni kweli enzi hizo nilikuwa kitunguu maji.[emoji3]

ILA SIKU HIZI...Ni mwendo wa weka mbali na watoto....Hainaga......sisi tunakulaga!...ubaya ubaya hakuna kupata hasara kamili.
 
Hv kabisa unafanya sex na mtu akiwa bleed????? hamuoni kinyaa? [emoji21]ptuuuuu
Siku hizi watu wamevurugwa...kutokana na excuse za wanawake kuongezeka kupitia period...team mafisi ilikuwa ikipata hasara kubwa sana.Unakuta unahudumia mwanamke..anatafuna pesa kisawasawa..siku unamualika mkutane hotel fulani...mnafika counter anaona kabisa unalipia room 50K hasemi kama hayupi vizuri..mkifika room unamnunulia na chakula..tena anataja kuku akauke vizuri...akishiba ni wakati wakulipa ndipo anapokupa ghasia ya moyo kuwa yupo period.

Sasa sijui alifikiri lodge ni kituo cha daladala mkae mpige stori tu.
 
Touch unapiga ila kiu inakuwa haikati..maana wakati huo damu inachemka sana...power tiller ilikuwa teyari kulima lakini shamba ndio lina visiki mbaya.
Dah hatari...sema ucngeonesha tamaa demu ungekamata alikufanyia kusud tyu
 
Ngoja nicheke alafu narudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani toka kumekucha hii ni furaha yangu ya pili khaaa pole mnoo but alikuweza!!!!!

Yani maana yke huyo hakuwa na hisia na wewe
Huenda ilikuwa hivyo..maana huwezi mtegea mtu safari ukiwa period..bora ingetokea wakati teyari mpo safarini..Niliapa sitojilipua tena.Nikipata mialiko kama hiyo nakuwa muwazi kabisa nauliza period unaingia lini?..jibu la hapo ndipo litanipa msukumo.
 
Hapana hakunidanganya katika hilo..nilithibitisha nilipoenda washroom baada ya yeye kutoka..siunajua vyoo vya lodge ni vyeupe ..nilipata kuona blood clots..nadhani alienda badili pad huko sasa hakuflash vyema pad.
Pole sana
 
Nimecheka sana hapo if ningepata ajali, na mm niikawaza ungepata papuch na ajali upate usingewazaeee
To make the risk worth taking..it must be accompanied by huge reward. Sasa risk nilibeba na zawadi haikuwepo...nikajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…