Visa vya wanawake katika mahusiano

Visa vya wanawake katika mahusiano

MGONGA ULIMBO

Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
32
Reaction score
51
Wanawake ni watu wazuri na watu wabaya sana. Akiamua kucheza na akili yako utafurahi. Niende kwenye mada husika nikirejea kisa kimoja ambacho mpaka leo namtafakari yule mwanamke.

Ni miaka kadhaa imepita. Nikiwa nasoma chuo. Kuna msichana nilimpenda na nilimfuatilia kwa takribani miezi minne pasina matumaini. Alikuwa ni dada anayejiheshimu sana. Lakini sikukata tamaa.

Kuna siku tunakaribia kumaliza masomo akaniuliza swali hili "unaweza kulala na msichana chumba kimoja na msifanye chochote" basi kwa kujitutumua nilijibu kwa ufasaha sana kuonesha sina tamaa ya fisi.. kuwa hilo linawezekana kwakuwa kila jambo ni kuamua. Akajibu sawa amependa jibu langu. Ikapita muda sana.

Siku moja nilikuwa nimechacha vibaya mno..wakati huo mdogo wangu alikuwa ameajiriwa nikampiga mzinga..nilapata fungu fulani hivi lakujikimu wakati nimetoka tu kuitoa hiyo pesa,mara ghafla ikaingia meseji ya yule binti ninayempenda ikisema.."nikuombe unisindikize sehemu utakubali?"..nikawaza sijui kunanini tena..nikajibu ndio na wapi?..(akataja mkoa fulani hivii).

Nikashtuka na kuwaza huyu anataka nimsindikize mkoani wakati hajawa hata mpenzi wangu inawezekanaje?.Kama tujuavyo..mtaka cha uvunguni sharti ainame.nikabidi nimdanganye kuwa mimi sina pesa ila natamani ningemsindikiza (lengo lilikuwa sitaki kwenda).

Lakini alisisitiza yeye pesa anayo atanilipia nauli ya kurudi na atalipia malazi. Nikamuuliza kwahiyo tutalala chumba kimoja? akasema NDIO.. Moyoni nikasema Yes,yes..mtoto kanikubalia kistyle fulani hivi. Bila kuwaza sana nikajilipua sijamwambia mtu yoyote. lakini nikabidi niulize huko mkoani tunafuata nini?(akajibu kuna nyaraka fulani anafuata za mambo yake)

Siku ya safari ikafika nikajianda vyema.safari ikaanza tukafika mkoani akalipia lodge nzuri kabisa. Kwakuwa tulifika usiku maana ni mbali kidogo. Ikabidi tupate chakula kwanza. Sasa kwakuwa ndio ilikuwa mara ya kwanza kuwa pamoja basi ilibidi tupeane zamu ya kuoga (kichwani nawaza huyu mtoto leo ntamaliza kwakweli maana nna hasira ya kupiga misele miezi minne).

Ilibidi nitoke nje nikanunue rubber (usalama kwanza). Nikijua leo ndio siku yakutunikiwa.nikiwa na furaha kabisa narudi nakuta kwenye dustbin kuna makaratasi yaliyofungiwa pad..NGACHOKA!!!..Nikabidi niulize kulikoni mama mbona nakuwa sielewi hivii..akanijibu niko period..(i was like...F*****).

Ikabidi niwe mpole nikauliza tangu lini akajibu tangu jana asubuhi..Nikashangaa na kuhoji kwanini hukuniambia tangu jana mpaka mimi nimejilipua kuja kote huku what if ningepata ajali? (halafu nakuja tena huku napata hasara kamili). Kiukweli nichanganyikiwa maana nilikuwa nimeiva mbaya kabisa..chumba nilikiona kama dumu la lita 20. Nilitamani niondoke hata usiku huo.

Akanikumbusha..unakumbuka kuna siku nilikuuliza kama unaweza lala na mtu msifanye chochote..nikajibu ndio. Nikawaza mshenzi huyu alitega akiingia period tu ndio anichote twende huko kwenye mipango yake. Basi sikuwa na jinsi nikatulia tulikaa siku tatu chumba kimoja bafu moja lakini sikutunukiwa.. Ilikuwa ni mateso makali ya kumuweka simba mwenye njaa kwenye machungio ya swala.

Huwezi amini baada ya kurudi..mahusiano yakawa yanalegalega mwisho yakafa mazima. Nikajuta sana why i couldnt calculate the risk. Nikawaza ingekuwa enzi hizi za "Hainaga period sisi tunakulagaaa" Hhhhhhhhh najua nisingepata hasara kamili...

Kama nawewe ushawahi kuchezeshwa kipekule na mwanamke changia hapa..Karibu ndugu.
 
Wanawake ni watu wazuri na watu wabaya sana.Akiamua kucheza na akili yako utafurahi.Niende kwenye mada husika nikirejea kisa kimoja ambacho mpaka leo namtafakari yule mwanamke.

Ni miaka kadhaa imepita.Nikiwa nasoma chuo.Kuna msichana nilimpenda na nilimfuatilia kwa takribani miezi minne pasina matumaini.Alikuwa ni dada anayejiheshimu sana.Lakini sikukata tamaa.

Kuna siku tunakaribia kumaliza masomo akaniuliza swali hili "unaweza kulala na msichana chumba kimoja na msifanye chochote" basi kwa kujitutumua nilijibu kwa ufasaha sana kuonesha sina tamaa ya fisi..kuwa hilo linawezekana kwakuwa kila jambo ni kuamua.Akajibu sawa amependa jibu langu.Ikapita muda sana.

Siku moja nilikuwa nimechacha vibaya mno..wakati huo mdogo wangu alikuwa ameajiriwa nikampiga mzinga..nlapata fungu fulani hivi lakujikimu wakati nimetoka tu kuitoa hiyo pesa,mara ghafla ikaingia meseji ya yule binti ninayempenda ikisema.."nikuombe unisindikize sehemu utakubali?"..nikawaza sijui kunanini tena..nikajibu ndio na wapi?..(akataja mkoa fulani hivii).Nikashtuka na kuwaza huyu anataka nimsindikize mkoani wakati hajawa hata mpenzi wangu inawezekanaje?.

Kama tujuavyo..mtaka cha uvunguni sharti ainame.nikabidi nimdanganye kuwa mimi sina pesa ila natamani ningemsindikiza (lengo lilikuwa sitaki kwenda).Lakini alisisitiza yeye pesa anayo atanilipia nauli ya kurudi na atalipia malazi.Nikamuuliza kwahiyo tutalala chumba kimoja?akasema NDIO..Moyoni nikasema Yes,yes..mtoto kanikubalia kistyle fulani hivi.Bila kuwaza sana nikajilipua sijamwambia mtu yoyote.lakini nikabidi niulize huko mkoani tunafuata nini?(akajibu kuna nyaraka fulani anafuata za mambo yake)

Siku ya safari ikafika nikajianda vyema.safari ikaanza tukafika mkoani akalipia lodge nzuri kabisa.Kwakuwa tulifika usiku maana ni mbali kidogo.ikabidi tupate chakula kwanza.Sasa kwakuwa ndio ilikuwa mara ya kwanza kuwa pamoja basi ilibidi tupeane zamu ya kuoga.(kichwani nawaza huyu mtoto leo ntamaliza kwakweli maana nna hasira ya kupiga misele miezi minne).

Ilibidi nitoke nje nikanunue rubber (usalama kwanza).nikijua leo ndio siku yakutunikiwa.nikiwa na furaha kabisa narudi nakuta kwenye dustbin kuna makaratasi yaliyofungiwa pad..NGACHOKA!!!..Nikabidi niulize kulikoni mama mbona nakuwa sielewi hivii..akanijibu niko period..(i was like...F*****).Ikabidi niwe mpole nikauliza tangu lini akajibu tangu jana asubuhi..Nikashangaa na kuhoji kwanini hukuniambia tangu jana mpaka mimi nimejilipua kuja kote huku what if ningepata ajali?(halafu nakuja tena huku napata hasara kamili).Kiukweli nichanganyikiwa maana nilikuwa nimeiva mbaya kabisa..chumba nilikiona kama dumu la lita 20.Nilitamani niondoke hata usiku huo.

Akanikumbusha..unakumbuka kuna siku nilikuuliza kama unaweza lala na mtu msifanye chochote..nikajibu ndio.Nkawaza mshenzi huyu alitega akiingia period tu ndio anichote twende huko kwenye mipango yake.Basi sikuwa na jinsi nikatulia tulikaa siku tatu chumba kimoja bafu moja lakini sikutunukiwa..ilikuwa ni mateso makali ya kumuweka simba mwenye njaa kwenye machungio ya swala.

Huwezi amini baada ya kurudi..mahusiano yakawa yanalegalega mwisho yakafa mazima.Nikajuta sana why i couldnt calculate the risk.nikawaza ingekuwa enzi hizi za "Hainaga period sisi tunakulagaaa" Hhhhhhhhh najua nisingepata hasara kamili...

Kiukweli ime nigusa sanaaaaaaa
Nakumbuka...demu
Alinipa mkwala....mmoja
Mkali sana....nami ikawa kama ww na mahusiano yetu..yalilegalega..hoi
 
Pole maana hawa jamaa itakuwa hujawasoma,nenda kawasome kwanza baada ya hapo hawatikupa maswali mengi kichwani
 
Kijana wa bongo fleva, sikia. Si kama ulichezewa akili.....huyu demu alitaka tu a company from you ila wewe ukajiwekea matumaini ya kufanya ngono naye, kwa hiyo ni wewe mwenyewe ndiye ulijitesa.
 
Mimi niliambiwa hivo nililala naye mpaka morning bila kumgusa ni story tu.
Siku ya pili hivohivo ila namgusa chuchu kimtindo,
Siku ya tatu yeye mwenyewe alidai,maana alikuwa hoiiii anaguswa chuchu halafu dushe halizami,mbona alidai mwenyewe chezea dushe wewe!!!
 
yaani ulipoteza golden chance kwa ugeni tu wa fani. Ulichotakiwa kufanya ni kujitoa ufahamu unamchezea kila kona kasoro papuchi tu. Angekupa mwenyewe nyege zingempanda. Huu mchezo hauhitaji hasira inaonekana ulikuwa na hasira
 
Back
Top Bottom