Haya matunda sitaki kuyasikia kabisa, yalijiotesha kwenye miti yangu kama 6 ya michungwa ambayo ilikua ishakua mikubwa inazaa, na pasheni zikaanza kutambaa kwenye miti zinazaa na zenyewe tena yale makubwa kabisa, nikaona nimepatia napiga two in one, aisee kilikuja kiangazi flani nilikua sipo home nao naona hakuna aliyeshtuka michungwa ikaja kujifia mapasheni ndo kwanza yanazidi kunawiri....sawa mkuu, kuna mapesheni yameiva nyumbani,karibu sana dada. Siku umetembelea kwetu unijulishe nikupe zawadi ya pesheni.
Basi una bahati sana mwanetu😃Kipindi nasoma secondary nilipiga mimba mwanafunzi mwenzangu ile mimba ikaharibika, baadae nikafocus na maisha. Mwaka jana mwisho nikatia mimba binti wa mtu naona hanisumbui sana na ishavuka miezi ya awali.
🤣🤣🤣🤣. Mimba zingne kitoto kikianza kujivutisha bangi tumbon utapenda bro.
Vimbwanga vya hapa na pale vipo ila sioni kama ni kero.Basi una bahati sana mwanetu😃
Basi inategemea na mpoje aisee sio kila mtu ni wa kumfanyia visa😃Vimbwanga vya hapa na pale vipo ila sioni kama ni kero.
Sikuwa na kisirani na mtu hata uje Kwa ugomvi nakuangalia Tu kitu ambacho sio kawaida yangueleza kidogo mkuu!
Daah kwahiyo kifo cha mistaferi yangu chanzo ni Mipassion?Nawaambiaga watu mpasheni ukitambaa hata kwenye mwembe unaozaa vizuri imekula kwako...sitaki kuusikia huu mti bora ninunue sokoni..nafikiria mpango wakuupanda eneo la peke yake .
Watu wa SUA mtusaidie why miti ife ikitokea mipasheni imetambaa?
Nimecheka eti parachichi jeusi😂😂😂Kisa cha pili mimba hiyo hiyo....
Mzee wa watu tumeingia kulala sa si kuna mda kitoto kinarusha mateke hadi na yeye anaumia. Ndugu zangu nilipigwa kofi la mgongo cjakaa sawa cmu imerushwa kule ati mim ndo nimemwambia mtoto ampige mateke. Woooi ctasahau hyo nakumbuka niliamka tu pole pole nkafungua chumba cha mtoto nkalala asubui niliamka saa kumi na moja nkapkia firstborn chai coz nilijua hapa huyu leo alivojua kakinukisha ucku ataamka amekasirika zake na anaweza mpga huyu akimwomba chai. Asubuh jnr wangu nikamwamsha polepole tukaoga wote huyoo kazin hadi washkaji wakaniuliza leo mbona umewahi tena na mtoto vip nyumba imeshka moto, nkawadanga nimekuja coz wife kaenda kwa mama jana hakurud kwa hyo huyu ataboeka home akiwa mwenyewe. Baada ya kutoka kaz nikapga cmu shem mmoja alikuwa kafunga shule akaja. Alipofika tu ati ndo huyu shem shkamoo, mtoto wa watu hata kabeg kake hatujakapokea akaambiwa arudi atafte parachch jeus cjui na makolokolo kibao nikasema pambaneni nyie wa tumbo moja ila mimi ntakunyonga.
Wewe jamaa jau sanaMke wangu alipokuwa anamimba changa alikuwa ananiomba ninyetuke kisha nikinge shahawa/manii kwenye bilauri ili apate kuinywa.
Mungu ni mwema nilifanya hivyo Kila aliponiomba kwa sababu hiyo kazi sikuiona kero, bali fursa ya kuukwea mnazi kwa kono Moja hadharani.
Kaniletee mkojo wa kuku.We kila leo unaniuza kwa wachangiaji wako! Mi mwenyewe nina mimba changa, nakosa usingizi kisirani changu chote nakihamishia jukwaani kutwa 👌🏽
Kesho unaanza kunilipa!😎
Uufanyie niniKaniletee mkojo wa kuku.
Dom moja hiyooooNiliamshwa, usiku wa manane nikamtafutie kuku wa kuchoma tena wa kienyej.
Nikakaonea huruma toka asubuhi hakajala, akaenda chuo, kurudi akala akatapika, usiku akashindwa kula..
Nikajizoa zoa nikaenda mnunulia.
nikafunga safari toka makulu mpaka chako ni chako..