Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Kisa cha pili mimba hiyo hiyo....
Mzee wa watu tumeingia kulala sa si kuna mda kitoto kinarusha mateke hadi na yeye anaumia. Ndugu zangu nilipigwa kofi la mgongo cjakaa sawa cmu imerushwa kule ati mim ndo nimemwambia mtoto ampige mateke. Woooi ctasahau hyo nakumbuka niliamka tu pole pole nkafungua chumba cha mtoto nkalala asubui niliamka saa kumi na moja nkapkia firstborn chai coz nilijua hapa huyu leo alivojua kakinukisha ucku ataamka amekasirika zake na anaweza mpga huyu akimwomba chai. Asubuh jnr wangu nikamwamsha polepole tukaoga wote huyoo kazin hadi washkaji wakaniuliza leo mbona umewahi tena na mtoto vip nyumba imeshka moto, nkawadanga nimekuja coz wife kaenda kwa mama jana hakurud kwa hyo huyu ataboeka home akiwa mwenyewe. Baada ya kutoka kaz nikapga cmu shem mmoja alikuwa kafunga shule akaja. Alipofika tu ati ndo huyu shem shkamoo, mtoto wa watu hata kabeg kake hatujakapokea akaambiwa arudi atafte parachch jeus cjui na makolokolo kibao nikasema pambaneni nyie wa tumbo moja ila mimi ntakunyonga.
 
Mke wangu alipokuwa anamimba changa alikuwa ananiomba ninyetuke kisha nikinge shahawa/manii kwenye bilauri ili apate kuinywa.

Mungu ni mwema nilifanya hivyo Kila aliponiomba kwa sababu hiyo kazi sikuiona kero, bali fursa ya kuukwea mnazi kwa kono Moja hadharani.
 
Wanajiendekeza tu wala hakuna lolote. Ukimlegezea ndio anazidi kukufanya lofa.
Yeye anadai eti harufu yangu ina mnukia vibaya .
Sasa siku moja nikatoka huko na nyege zangu nikamuomba game akazingua sinikajaribu kumshika kwa nguvu aise alinitapikia kifuani na siku hiyo alitapika usiku mzima hakulala mpaka nikampeleka hospital akatundikiwa diripu za maji alipo toka hospital nikakuta amehama chumba nikaamua nimpotezee tu kwa sababu alicho beba tumboni kima thamani kubwa sana kwangu kuliko hata hiyo ngono.
 
Ucngz umenikuta nikiwa humu ndani je nalala wapi sasa.. Nyuzi zingne unacoment kitu afu mbuzi anakwambia umecoment cjui utumbo ukimuuliza wa punda au wa mbuzi anakuendeleza na matus ni kama anajua ulichokiandika ndo ukakosea. Humu nimegundua wengi ni experts i mean wana akili za kutosha. Jah bless especially mnaonipa thanks, kicheko, fire etc bila kusahau mnaoquote. LOVE U GUYS. Aki sis mtu anijibu hyo ya mwisho captal letters ntamshukuru
 
MWAMBA USIKU MWEMA
 
Back
Top Bottom