Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Ucngz umenikuta nikiwa humu ndani je nalala wapi sasa.. Nyuzi zingne unacoment kitu afu mbuzi anakwambia umecoment cjui utumbo ukimuuliza wa punda au wa mbuzi anakuendeleza na matus ni kama anajua ulichokiandika ndo ukakosea. Humu nimegundua wengi ni experts i mean wana akili za kutosha. Jah bless especially mnaonipa thanks, kicheko, fire etc bila kusahau mnaoquote. LOVE U GUYS. Aki sis mtu anijibu hyo ya mwisho captal letters ntamshukuru
neno guys litoe,litachafua hali ya hewa.
 
Niliamshwa ucku saa nne ucku nitafute maembe mabichi mbona hata yeye alibaki kucheka. Yaan niliondoka cmu nkaacha hapo nkaenda kulala guest hadi asubuhi na ilikua wikend ndo jmos inaanza nilirud jpil hajatoka kanisani nkajiandaa na kusafiri na firstborn coz walikua hawaelewani hata cku hiyo alienda church akamwacha home nkapita nae nikaacha ujumbe kuwa usitutafute tumeenda kutafuta maembe mabichi. Tulikaa tulikoenda wiki nzma kurudi akaanza kulia ati katumis. Tangu cku hiyo hajawai kunituma hata kama ni kijiko nimsogezee tukiwa mezan na kipo karbu na mim ataamka afate. Hata tukigombana afu ni mwambie acha ntakuletea maembe mabich atacheka had asahau tulichokua tunagombana
Wanajifanyishaga hao. Mi nina watoto 4 na hajawahi kunifanyia wala kuniagiza suala lolote lile katika mimba zote.

Anaamka asubuhi na kupiga kazi zake mwenyewe. Hakuna kupelekeshana. Wanaendelezwa hao.
 
Kwa kulinda afya ya mke wangu baada ya kujifungua, nilipiga nyeto kwa mwaka mzima, yeye pia alikuwa akinisaidia kwenye hilo.

Huu ni upendo mkubwa kwa mke wangu, kuhakikisha afya yake inarejea baada ya yeye kuniletea zawadi ya uzao.

Hii sio kisa, bali ni pongezi kwake.
Kwahiyo alikusaidia kunyetuka????
 
Wanajifanyishaga hao. Mi nina watoto 4 na hajawahi kunifanyia wala kuniagiza suala lolote lile katika mimba zote.

Anaamka asubuhi na kupiga kazi zake mwenyewe. Hakuna kupelekeshana. Wanaendelezwa hao.
ndugu yangu shukuru mungu kama hukupitia hayo mim nilishaona jamaa fundi wa pkpk akirushwa chuma na mke wake kisa mimba ati dem kaenda kufka hajamuita jamaa den si kamgeuzia kuwa yaan hujaniona jamaa alirushwa spana flan sema jamaa aliikwepa akataka kumpga mke wake watu wakamshaur aache ati ni mimba lakn jion walivorud maana walikuwa wamepanga kwa bro wangu nakwambia walipgana hadi kukakucha. Sasa ndan ndo usiseme yaan kuanzia tv,radio, vyombo vya kupkia vilipasuliwa had madirisha walipasua. Mjaluo wa watu ilibidi atoroke miezi mitatu bila kuonekana mtaani mwanamke akabadilika ile bangi ya mtoto tumbmi ikaisha wakarudiana maisha yakasonga. Mimba zingne kitoto kikianza kujivutisha bangi tumbon utapenda bro.
 
Haya maneno Yako yanataka nitumie Binocular kuku zoom ..
Au Mimi ni a.k.a Complicator?
hiyo niliambia warembo ucku lakin wakauchuna na ikaisha hivo sa kama unafukua makaburi mimi hapo sipo we endelea kuzoom au uelewe ulivoelewa coz wabongo sio kama mnaajipisha kwa kura mil 31 na uchafu na mim cjapga kura hamshindwi kwa lolote
 
Sina ushauri kenge wangu ni kamanda. Na mimba zake ziko kikamanda zaidi ni mwendo wa biere mpaka siku najifungua nakula kila kitu kasoro uchafu......... Mizagamuo mpaka siku ya kujifungua na uchungu wangu wa mwisho nilipiga Kili zangu nne nikaingia leba.
Uwiiii. 😅😅
 
Back
Top Bottom