Visa vya MonkeyPox vyaongezeka Ulaya na Marekani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,611
1652970977280.png


Mamlaka za afya ziko macho kutokana na kuenea kwa ugonjwa hadimu unaofanana na tetekuwanga ambapo Ureno ilisema Jumatano iligundua visa viwili, Uhispania inafanya majaribio kwa watu 23 wenye dalili za ugonjwa huo, na jimbo la Massachusetts la Marekani likithibitisha kisa kimoja

Uingereza ilikuwa ya kwanza kuthibitisha kisa cha kwanza cha ugonjwa huo mapema mwezi huu ambapo hadi sasa imegundua kesi saba na inafanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuchunguza kuenea kwa virusi hivyo

Aidha, Mamlaka za afya zinashuku kuwa baadhi ya maambukizo huenda yalitokana na kujamiiana huku ikihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ambapo visa vinne nchini Uingereza vikihusisha wanaume wa aina hiyo

……………….

Health authorities are on alert for the spread of monkeypox, a rare viral disease first reported in the Democratic Republic of Congo in the 1970s, after new cases emerged in Europe, and the United States confirmed its first infection.

Portugal said on Wednesday it had identified five cases of monkeypox, Spain said it was testing 23 potential cases, and the US state of Massachusetts announced it had found a case in a man who recently travelled to Canada.

The United Kingdom was the first to confirm a case of monkeypox earlier this month. It has now detected seven cases and is working with the World Health Organization (WHO) to investigate the virus’s spread after being unable to make a link between the initial case, in a man who had travelled from Nigeria, and the more recent ones.

Health authorities suspect some of the infections may have occurred through sexual contact – in this instance among gay or bisexual men – with four of the UK cases identified among people who visited sexual health clinics after developing the rash associated with monkeypox.

“No source of infection has yet been confirmed for either the family or GBMSM clusters,” the WHO said in a statement in Wednesday. “Based on currently available information, infection seems to have been locally acquired in the United Kingdom. The extent of local transmission is unclear at this stage and there is the possibility of identification of further cases.”

Monkeypox, which is similar to human smallpox, typically begins with a flu-like illness and swelling of the lymph nodes, followed by a rash on the face and body. Most people recover from the illness, which is endemic in parts of central and western Africa and usually the result of close contact with infected animals, within a few weeks, but it can be fatal.

Source: Al Jazeera
 
Mungu wape mapigo wanaokuasi.
Mashoga poleni kwa pigo la kwanza.
Mengi yanakuja.

Tubuni mrejee kwa Bwana
 
Huko Uingereza umelipuka ugonjwa wa smallpox aina ya monkeypox.
Ugonjwa huu, madaktari wamethibitisha unawaathiri zaidi mashoga.

Sasa hivi vyombo vya habari kama kawaida yao, huko Uingereza wameanza kutupia lawama kuwa ugonjwa huu umetoka Afrika.
Kitu ambacho ni kukwepa ukweli.

Tujihadhari na tuchukue hatua serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuliweka hili latika look out.

Outbreak in Europe and North America

The first case of monkeypox in Europe was confirmed on May 7. The infected person was an individual who returned to England from Nigeria, where monkeypox is endemic.

The disease was then confirmed in Portugal, with 14 cases, all young males. Spain has reported seven confirmed cases, while one case has since been reported in Sweden and Italy, respectively.

jcg, wd/rt (Reuters, dpa, AP)
 
Wanasema sababu ya kuathiri zaidi mashoga ni ipi?
Mashoga wanaathirika sana na tuvirusi tuzembetuzembe ambato tunaathi...[embu niache kuvidogosha sana mwe😂]...

Wanaathiriwa na virus kizembe Kwa sababu kinga ya mwili wao mara nyingi inashuka hadi wanaathirika na vidudu vinavyosumbuaga watoto watoto.

Kinga ya mwili inashuka kwa sababu nyinginyingi ikiwamo matumizi ya madawa ya kulevya, kuwa na wapenzi wengi na pia kutokana na shahawa kwenda maeneo yasiyotakiwa. Mfano shahawa ikipita haja kubwa kemikali zake husharabiwa kirahisi sana kwenye damu na hivyo kupunguza kinga ya mwili.

Hata zikikaa tu humohumo kwenye mfumo wa utumbo na kuishusha kinga yake. Basi hupelekea kushindikana kucontrol bakteria waliomo tumboni hivyo kuzidi na kusababisha maambukizi pia katika damu 'septicemia'. Na hii imewezekana kwa sababu kinga ilishapunguzwa damuni kwa madawa na kemikali za shahawa pia.

It is still a theory mazee, maelezo hapo juu bado ni nadharia tu
 
Mashoga wanaathirika sana na tuvirusi tuzembetuzembe ambato tunaathi...[embu niache kuvidogosha sana mwe]...

Wanaathiriwa na virus kizembe Kwa sababu kinga ya mwili wao mara nyingi inashuka hadi wanaathirika na vidudu vinavyosumbuaga watoto watoto.

Kinga ya mwili inashuka kwa sababu nyinginyingi ikiwamo matumizi ya madawa ya kulevya, kuwa na wapenzi wengi na pia kutokana na shahawa kwenda maeneo yasiyotakiwa. Mfano shahawa ikipita haja kubwa kemikali zake husharabiwa kirahisi sana kwenye damu na hivyo kupunguza kinga ya mwili. Hata zikikaa tu humohumo kwenye mfumo wa utumbo na kuishusha kinga yake. Basi hupelekea kushindikana kucontrol bakteria waliomo tumboni hivyo kuzidi na kusababisha maambukizi pia katika damu 'septicemia'. Na hii imewezekana kwa sababu kinga ilishapunguzwa damuni kwa madawa na kemikali za shahawa pia.

It is still a theory mazee, maelezo hapo juu bado ni nadharia tu
Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom