Visa vya mapenzi na simu: Kisa hiki kinanikumbusha mbali

Visa vya mapenzi na simu: Kisa hiki kinanikumbusha mbali

asome tu yani nimeze simu na hizi simu za sikuhiz sijui inapitaje mdomon had ifike kwa koo niimeze

Teh... teh... teh... unafanya mchezo na kitu kufumaniwa! That was the only alternative for her to do away with the issue
 
Hivi simu ya mke/mpenz wako inakuhusu nini...WE should know though in rship partners have their PRIVACY...TUSISAHAU kuwa hata ukijua anaechepuka na mpenz wako HATA ukimfanya chochote HAISAIDII...ur partner ni mtu mzima mwenye akili timamu UAMUZI wa kuchepuka ameufanya kwa hiari yake hivo ....hivo reaction yoyote sijui Ugomvi, Bastola sijui nini ni kazi bure

MY APROACH nitashughulika na ATAKAYEMBAKA mke wangu....wengine sina muda nao kwani mke wangu atakuwa ameamua yeye mwenyewe kwa sababu anazozijua YEYE
 
Sipati picha kahangaika kuimeza alafu wkt akiwa hosp yeye akiwa hajitambui cm inatolewa nzima kbs, anapewa mtu wa karibu yake wkt huo ni mpenz wake yupo. Sijui akiamka anafanyaje mana juhudi sitakua hazijazaa matunda.
 
BAsi haupo smart. I know smart people duing that.

Hahhah....hata ifike miaka 10,itafahamika tu! Cha-kucheat kinafumukaga labda kama ana-mcheat mchepuko vumbi...otherwise kama ni mume/mke lazima ubambwe..!!!!!! U-smart tupa kulee...
 
Back
Top Bottom