Visa Official Thread.

Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,982
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,982 2,000
Huu ni uzi rasmi wa kiTanzania wa kupeana michongo ya njia rahisi za kupata VISA za nchi mbalimbali duniani.

Pia uta-share experience yako taratibu ulizofuata hadi ukapata visa ya nchi yeyote. (Usiwe mchoyo mtu akikuomba ushauri).

Tutaelezana nchi ambazo watanzania wanaweza ingia bila visa, nchi ambazo unapata visa ukifika airport na nchi ambazo lazima uombe visa kwanza kabla hujaenda.

Karibuni.
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
31,344
Points
2,000
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
31,344 2,000
Naweka Kambi Hapa Kupata Vya Mfukoni
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,982
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,982 2,000
lusungo Nyani Ngabu RRONDO n.k
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
13,835
Points
2,000
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
13,835 2,000
Nafuatilia,natamani nikaishi Australia.
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top