Virusi vyatumika kutibua mpango wa nuklia wa irani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Virusi vyatumika kutibua mpango wa nuklia wa irani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 23, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Leo asubuhi Voice of America ilitangaza kwamba Israel, Pengine kwa kushirikiana na Marekani imefanikiwa kupandikiza virusi kwenye kompyuta zinazotumiwa na Irani kuendeleza mpango wake wa nuklia, na kwamba virusi hivyo vimeutibua mpango huo, kiasi cha kuurudisha nyuma kwa takribani miaka isiopungua mitano.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Khaaaaa
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wana kazi jamani.
  Mambo ya teknolojia nayo wasije wakashangaa hivyo virusi vikaspeed up mpango mzima.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Duuh!!
   
 5. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Walipandikizeje wakati zile computer wala hata hazi connected na net? Eti wataalam mtu anaweza ingiza virus kwenye closed circuit LAN?
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  This thread should have been posted in the International Forum.
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Lazima kulikuwa na kipandikizi mule
   
 8. V

  Vumbi Senior Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huu mpango wa nyuklia unasababisha maisha magumu kwa raia wa kawaida wa Iran. Makampuni mengi ya kigeni yaliyokuwa yamewekeza kwenye mafuta yamesimamisha miradi mingi kutokana na vikwazo kutoka kwa mataifa mengine. Kimsingi Iran inautajiri mwingi sana wa mafuta na gesi kama wakiamua kusimia kwa umakini wanaweza kuwa taifa tajiri sana. Kwa huu usumbufu unaoletwa na mataifa makubwa ni afadhali Iran iachane na huu mradi iwekeze zaidi kwenye mafuta na gesi then baadae wakisha simama kiuchumi kama matifa mengine ya mangaribi watakuwa na jeuri ya kuwekeza kama mataifa hayo.
   
 9. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna sababu gani ya msingi kuwazuia kuwa na nuclear ukizingatia adui yao mkubwa Israel tayari anamiliki nuclear??
   
Loading...