Virusi vya Ebola vilitengenzwa katika maabara za Marekani!

Virusi vya Ebola vilitengenzwa katika maabara za Marekani!

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
5,648
Reaction score
1,729
Imedhihirika wazi kuwa virusi vya Ebola vilitengenezwa katika maabara kwa ufadhili wa serikali ya Marekani na tayari wao wenyewe wana madawa ya kuwatibu iwapo wataaambukizwa. Hadi sasa maelfu ya waafrika maskini wamefariki kwa kukosa dawa lakini mara tu baada ya wanasayansi wawili wa Marekani kuambukizwa, wakapewa dawa na kupona mara moja.

Utengenezaji wa virusi vya Ebola ulikuwa ni mpango wa muda mrefu. Lengo la kutengeneza virusi hivi lilikuwa kuvitumia kama silaha ya kibailojia dhidi ya maadui na hata kuvitumia kupunguza idadi ya watu duniani. Lakini pia kufadi mapato ya mamilioni ya pesa yatakayotokana na mauzo ya madawa.

Mpango mzima huu hapa: Bonyeza: U.S. patent number 20120251502

Honolulu naomba nitoe ufafanuzi na ukiweza uweke hii mesg hapo juu maana nina uhakika na nacho kiandika.

Hii document inaonyesha kwamba ....hawa watu
[TABLE="class: patent-bibdata, width: 450"]
[TR="class: patent-bibdata-list-row"]
[TD]Jonathan S. Towner, Stuart T. Nichol, James A. Comer, Thomas G. Ksiazek, Pierre E. Rollin, Less «[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

kupitia maabara ya serikali ya Marekani wame apply haki miliki mtiririko wa yavinasaba (genetic sequence) vya kirusi cha EBOLA. Hii ni kwamba, hakuna mtu yeyote duniani anayeruhusiwa kutumia vinasaba hivyo kutengeneza chanjo au tiba ya EBOLA zaidi ya hao watu tu chini ya serikali ya Marekani na kampuni itakazoteua.

Hii "abstract" ina maanisha hivyo. Sio kwa tafsiri ya moja kwa moja bali kwa tafsiri ya maelezo.

ABSTRACT
Compositions and methods including and related to the Ebola Bundibugyo virus (EboBun) are provided. Compositions are provided that are operable as immunogens to elicit and immune response or protection from EboBun challenge in a subject such as a primate. Inventive methods are directed to detection and treatment of EboBun infection.

Sasa ndugu zangu mnao abudu na kuamini kuwa wazungu wanatusaidia tuu na wana roho za malaika, naomba mtafakari, kwa gonjwa baya kama EBOLA, hata kama hamwamini kua wametengeneza je ni sawa watu ku apply haki miliki kwa kiumbe ili wengine msiweze kutumia kujikomboa?

Embu naombeni wana JF muwa tag na wenzenu humu ndani waone wao wenyewe, na kama mpaka hapa kuna mtu hataamini the evil intent of the West tunayokesha tukiimba hapa huyo basi, sita debate naye tena kuhusiana na hili swala.
Elli BAK Riwa Deception Nyani Ngabu Karucee NCHI YANGU TZ @Makaura tindikalikali

People in the Western World need to know what's happening here in West Africa. THEY ARE LYING!!! ..... The Red Cross has brought a disease to 4 specific countries for 4 specific reasons and it is only contracted by those who receive treatments and injections from the Red Cross. That is why Liberians and Nigerians have begun kicking the Red Cross out of their countries and reporting in the news the truth. Now bear with me:

REASONS:
Most people jump to "depopulation" which is no doubt always on the mind of the West when it comes to Africa. But I assure you Africa can NEVER be depopulated by killing 160 people a day when thousands are born per day. So the real reasons are much more tangible.

Reason 1: This vaccine implemented sickness being "called" Ebola was introduced into West Africa for the end goal of getting troops on the ground in Nigeria, Liberia, and Sierra Leone. If you remember America was just trying to get into Nigeria for "Boko Haram" #BULLSHIT but that fell apart when Nigerians started telling the truth. There ARE NO GIRLS MISSING. Global support fell through the floor, and a new reason was needed to get troops into Nigeria and steal the new oil reserves they have discovered.

Reason 2: Sierra Leone is the World's Largest Supplier of Diamonds. For the past 4 months they have been on strike, refusing to provide diamonds due to horrible working conditions and slave pay. The West will not pay a fair wage for the resources because the idea is to keep these people surviving on rice bags and foreign aid so that they remain a source of cheap slave labor forever.

A reason was also needed to get troops on the ground in Sierra Leone to force an end to the diamond miners strikes. This is not the first time this has been done. When miners refuse to work troops are sent in and even if they have to kill and replace them all, the only desire is to get diamonds back flowing out of the country.

Of course to launch multiple campaigns to invade these countries separately would be way too fishy. But something like "Ebola" allows access to an entire area simultaneously…

Reason 3: In addition to stealing Nigerian oil, and forcing Sierra Leone back to mining, troops have also been sent in to FORCE vaccinations (Deadly "Ebola" Poison) onto those Africans who are not foolish enough to take them willingly.
3000 troops are being sent in to make sure that this "poison" continues to spread, because again it is only spread through vaccination. As more and more news articles are released as they have been in Liberia, informing the populous of the US lies and manipulation, more and more Africans are refusing to visit the Red Cross. Troops will force these vaccinations upon the people to ensure the visible appearance of an Ebola pandemic. In addition to this they will protect the Red Cross from the Liberians and Nigerians who have been rightfully ejecting them from their countries.

Reason 4: Last but not least, the APPEARANCE of this Ebola "pandemic" (should Americans not catch on) will be used to scare the countless millions into taking an "Ebola vaccine" which in reality is the pandemic. Already they have started with stories of how it has been brought to the U.S. and has appeared in Dallas, how white doctors were cured but black infected are not being allowed to be treated, etc.
ALL that will do is make blacks STRIVE to get the vaccine, because it appears that the "cure" is being held back from blacks. They will run out in droves to get it and then there will be serious problems. With all we have seen revealed about vaccines this year you would think we learned our lesson. All I can do is hope so, Because they rely on our ignorance to complete their agendas.

Ask yourself:
If Ebola really was spread from person to person, instead of controlled spread through vaccination – then WHY would the CDC and the US Government continue to allow flights in and out of these countries with absolutely no regulation, Or At All? We have got to start thinking and sharing information globally because they do not give the true perspective of the people who live here in West Africa. They are lying for their own benefit and there aren't enough voices out there with a platform to help share our reality. Hundreds of thousands have been killed, paralyzed and disabled by these and other "new" vaccines all over the world and we are finally becoming aware of it. Now what will we do with all this information?
 
Acha kupotosha jamii, dunia inahangaika kutafuta namna ya kukabiliana ebola, wewe unaleta siasa. Huo ni uvivu wa kufikiri na ndio maana wanasema Iq ya watz ni ndogo.
 
Acha kupotosha jamii, dunia inahangaika kutafuta namna ya kukabiliana ebola, wewe unaleta siasa. Huo ni uvivu wa kufikiri na ndio maana wanasema Iq ya watz ni ndogo.

Nchi hii imejaa vilaza wengi..kama ishu ni kupunguza idadi ya watu tungesikia kesi nyingi za Ebola na Uchina..maana idadi ya bara zima la Afrika haifikii idadi ya watu walioko India!
 
Hii Report ni ndefu itanichukua muda mrefu kuisoma na kuielewa.

Kisha nitarudi kutoa Comment zangu.

Tusitoe lawama pasipo kuisoma na kuielewa taarifa iliyotolewa. Huenda ikawa na ukweli ndani yake........ Sasa tukianza kulaumu na kisha tukaisoma na kugundua ni ukweli .... tutasemaje hapo baadaye....... nani atakuwa Kilaza?????

At this time....... lets wait./././././././././././././././
 
Ni wazi hii ni Vita ilioanzishwa na USA kwa interest zao kupora rasilimali za Africa anayebisha abishe
 
Ujue watanzania wengi tunahisi kwamba kila kitu kinachotokea ni mapenzi ya Mungu..
Swali Dogo la kujiulza ni kwamba kama Ebola iliwahi kutokea nchini Congo miaka ya nyuma ilikuwaje ikatulizwa..? Ni dawa gan zilizotumika kukabiliana nayo kipindi hicho..?
Ni kweli usio na shaka kwamba zipo nchi zinazotengeneza magonjwa kama haya for specific reasons zao ambazo zipo katika longterm plan hivyo inakuwa vigumu ukiwaambia watu kuwa hizi ni plan wakakuelewa..
Kuna movie moja hivi ya kimarekan inaitwa THE LAST SHIP imejaribu kuweka uhalisia Wa mambo mengi ambayo ukiangalia utapata picha juu ya mambo haya..! All in all lisemwalo lipo kama halipo linakuja tena very soon..!!
 
Acha kupotosha jamii, dunia inahangaika kutafuta namna ya kukabiliana ebola, wewe unaleta siasa. Huo ni uvivu wa kufikiri na ndio maana wanasema Iq ya watz ni ndogo.
Pole sana! Umesoma vizuri hiyo link na kuielewa lakini? Nakushauri usome kwanza kabla ya kuchangia.
 
Honolulu naomba nitoe ufafanuzi na ukiweza uweke hii mesg hapo juu maana nina uhakika na nacho kiandika.

Hio document haionyeshi kwamba kirusi cha EBOLA kimetengenezwa na watu, bali ni kwamba hawa watu

[TABLE="class: patent-bibdata, width: 450"]
[TR="class: patent-bibdata-list-row"]
[TD]Jonathan S. Towner, Stuart T. Nichol, James A. Comer, Thomas G. Ksiazek, Pierre E. Rollin, Less «[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

kupitia maabara ya serikali ya Marekani wame apply haki miliki mtiririko wa yavinasaba (genetic sequence) vya kirusi cha EBOLA. Hii ni kwamba, hakuna mtu yeyote duniani anayeruhusiwa kutumia vinasaba hivyo kutengeneza chanjo au tiba ya EBOLA zaidi ya hao watu tu chini ya serikali ya Marekani na kampuni itakazoteua.

Hii "abstract" ina maanisha hivyo. Sio kwa tafsiri ya moja kwa moja bali kwa tafsiri ya maelezo.

ABSTRACT
Compositions and methods including and related to the Ebola Bundibugyo virus (EboBun) are provided. Compositions are provided that are operable as immunogens to elicit and immune response or protection from EboBun challenge in a subject such as a primate. Inventive methods are directed to detection and treatment of EboBun infection.

Sasa ndugu zangu mnao abudu na kuamini kuwa wazungu wanatusaidia tuu na wana roho za malaika, naomba mtafakari, kwa gonjwa baya kama EBOLA, hata kama hamwamini kua wametengeneza je ni sawa watu ku apply haki miliki kwa kiumbe ili wengine msiweze kutumia kujikomboa?

Embu naombeni wana JF muwa tag na wenzenu humu ndani waone wao wenyewe, na kama mpaka hapa kuna mtu hataamini the evil intent of the West tunayokesha tukiimba hapa huyo basi, sita debate naye tena kuhusiana na hili swala.
Elli BAK Riwa Deception Nyani Ngabu Karucee NCHI YANGU TZ Makaura tindikalikali
 
Last edited by a moderator:
Acha kupotosha jamii, dunia inahangaika kutafuta namna ya kukabiliana ebola, wewe unaleta siasa. Huo ni uvivu wa kufikiri na ndio maana wanasema Iq ya watz ni ndogo.
Wewe na tindikalikali sidhani kama mmesoma hio link, au hata kama mmesoma mmeielwa. Nimejaribu kuielezea hapo juu.

Kuhusu swala la population control, sasa wakuu, mnafikiri mzungu ahangaike na population ya China na India kuna rasilimali gani pale kwanza?
Na hata kama China, India na Africa pangekua na rasilimali sawa unafikiri wapi kati ya hizo sehemu tatu pana ingilika kirahisi kutoka na kutokushikamana kwa watu wake na ujinga wa hali ya juu? Hembu fikirieni na hio akili kidogo tu mliopewa.

Ngoja nijaribu kuwarahisishia zaidi kwa mfano huu, nyie ni majambazi na mtaani kuna nyumba 3 za kuiba. Nyumba ya kwanza ina watu 15 ya pili watu 16 na ya tatu watu 6 tu. Halafu ya 6 ndio ina mali kuliko zote mbili na watu wake ni wajinga hawana mshikamano? Nyie mngepanga kuvamia wapi kwanza?
tindikalikali, swala la population control sio tu lengo la kupunguza wingi wa watu tu basi, hapana. Ni kupunguza wingi wa watu, ili kudhoofisha nchi na kuweza kupata rasilimali kirahisi zaidi.
Mimi binafsi nafikiri walifanikiwa sana hilo na UKIMWI, hili la EBOLA limekuja kama emergency plan ya wao kuweza kuingia kwa kasi zaidi kwa mgongo wa kusaidia sababu UKIMWI umepungua kasi.

Amkeni waAfrika, mzungu hajawahi kua mtu mzuri toka enzi za utumwa ndugu zangu. Msione wakiwachekea! Serikali zao hazimjali Mwafrika.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu hii ni taarifa ya ugunduzi wa aina maya ya virus via Ebola. Kwenye Sayansi hii inaitwa species. Ukisoma taarifa hii species imegunduliwa Uganda. Hii taarifa ya haki miliki (patent)
 
Willy cha kujiuliza inakueje binadamu na serikali tunajipa haki miliki ya genes za viumbe?
 
Last edited by a moderator:
Us military research i guess through their development on biological weapon n'population control conspiracy,causing a lot of hell,bt truth will reveal itself,insha allah!
 
The language used here is purely a scientific language which if you didn't go through Molecular biology studies you can not understand the topic and end up criticizing the author. But for those who have been studying it especially on genomics, bioinformatics, DNA Sequencing, DNA amplification, PCR etc, they will know that this is quite a Scientific research done by molecular biologist. No cheats here and I agree with the author, Ebola might be man made virus as I once posted in the United States of Africa Group, "Is Ebola Crisis real natural or man made disease?" So if you don't know the topic you better stay aside, otherwise it will be seen as trying to sing to a Choir Master.
 
Back
Top Bottom