Honolulu naomba nitoe ufafanuzi na ukiweza uweke hii mesg hapo juu maana nina uhakika na nacho kiandika.
Hio document haionyeshi kwamba kirusi cha EBOLA kimetengenezwa na watu, bali ni kwamba hawa watu
[TABLE="class: patent-bibdata, width: 450"]
[TR="class: patent-bibdata-list-row"]
[TD]
Jonathan S. Towner, Stuart T. Nichol, James A. Comer, Thomas G. Ksiazek, Pierre E. Rollin, Less «[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
kupitia maabara ya serikali ya Marekani wame apply haki miliki mtiririko wa yavinasaba (genetic sequence) vya kirusi cha EBOLA. Hii ni kwamba, hakuna mtu yeyote duniani anayeruhusiwa kutumia vinasaba hivyo kutengeneza chanjo au tiba ya EBOLA zaidi ya hao watu tu chini ya serikali ya Marekani na kampuni itakazoteua.
Hii "abstract" ina maanisha hivyo. Sio kwa tafsiri ya moja kwa moja bali kwa tafsiri ya maelezo.
ABSTRACT
Compositions and methods including and related to the Ebola Bundibugyo virus (EboBun) are provided. Compositions are provided that are operable as immunogens to elicit and immune response or protection from EboBun challenge in a subject such as a primate. Inventive methods are directed to detection and treatment of EboBun infection.
Sasa ndugu zangu mnao abudu na kuamini kuwa wazungu wanatusaidia tuu na wana roho za malaika, naomba mtafakari, kwa gonjwa baya kama EBOLA, hata kama hamwamini kua wametengeneza je ni sawa watu ku apply haki miliki kwa kiumbe ili wengine msiweze kutumia kujikomboa?
Embu naombeni wana JF muwa tag na wenzenu humu ndani waone wao wenyewe, na kama mpaka hapa kuna mtu hataamini the evil intent of the West tunayokesha tukiimba hapa huyo basi, sita debate naye tena kuhusiana na hili swala.
Elli BAK Riwa Deception Nyani Ngabu Karucee NCHI YANGU TZ Makaura tindikalikali