Virginity certificate

kuna vitu hapa sijajua nini hapo kifuani kama utafiti ukifanyika huenda nikaijifunza kitu
 
Last edited by a moderator:
Barua za posa za uongo zitafulululiza hapo ili wa
 
Kwa vyovyote wewe mshanajr ni Muumini wa dini sijui kama haya ndo maadili ya dini yako,wewe unapost ili kuwafurahi watu iko siku Mungu atakuhukumu kwa haki.

Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo yake atavunjika ghafla wala hapati dawa
 
Kwa vyovyote wewe mshanajr ni Muumini wa dini sijui kama haya ndo maadili ya dini yako,wewe unapost ili kuwafurahi watu iko siku Mungu atakuhukumu kwa haki.

Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo yake atavunjika ghafla wala hapati dawa

Naomba nisicoment chochote kwenye hii post yako kwakuwa kuhusiana na hizi post tuna misimamo miwili tofauti

Hapa ni mtandao huru wa kijamii lakini una masharti, vigezo na taratibu zake nimezisoma na kuzielewa huwa nakuwa making mno kuchagua napost nini, hatuwezi kuwa na tafsiri moja kwenye lolote lile na haiwezekani kila mmoja akubaliane na kile ninachopost, naheshimu mtazamo wao

Lakini kwa hakika kuna picha mbaya na chafu mno ambazo kwa vyovyote vile siwezi asilani kuziweka hapa jamvini na hata ikitokea nikafanya hivyo kwa bahati mbaya au kwakudhamiria mods hawawezi kuzikubali

Huko mitaani, kwenye magazeti na majarida ya udaku, kwenye mitandao mingine ya kijamii kuna mambo na picha chafu maramia ya hizi ninazopost hapa, na huko ndiko vijana wetu walipo kwa wingi

Naamini picha hizi zinazokukwaza wewe si lolote si chochote kulingana na hali halisi na kinachotokea huko mitaani
 
aisee nimevutiwa na aina ya udongo wa hiyo sehemu unafaa sana kwa kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…