Vipo wapi vitu hivi?enzi hizo.....

Vipo wapi vitu hivi?enzi hizo.....

Tena ilikuwa nyimbo moja inachukua dk 15...lwambo lwanzo makiadi, tabu ley, Sam mangwana, boz boziana, mbilia bell, nawengine wengi tu...

haha! Siku hizi imebaki kuwa miziki ya virabu vya pombe za kienyeji!! Btw-mzima wewe? U lost!!
 
haha! Siku hizi imebaki kuwa miziki ya virabu vya pombe za kienyeji!! Btw-mzima wewe? U lost!!

Mzima kabisaaaa! Zipo sehemu huwa zinapigwa hizo...huwa tunajikumbushaga siku mojamoja...
 
hahahahhaha Munkari umenikumbusha mbali weye
acha tu
 
Last edited by a moderator:
Yondo sista mwana mama eemaiyo.......hapo unakatika balaa
 
wapi huko mupenzi?? Ushavaa chachacha wewe? Hahaha!!

Na njumu je imeandikwa adidas kwa wakaka.
Mi nilikuwa na raba za shule kubwa tuliziita lakuchumpa na beg la shule kubwa Volcano utadhani tunapanda milima
 
Na njumu je imeandikwa adidas kwa wakaka.
Mi nilikuwa na raba za shule kubwa tuliziita lakuchumpa na beg la shule kubwa Volcano utadhani tunapanda milima

aisee! Unanchekesha sana ujue!! Lakuchumpa siye tulikuwa tunaita lakupanda! Bonge la raba na kamba za kijani!!
 
nikuwa na chachacha zangu za brown mamaaaa enz za majengo primary school moshi hyo. kuna raba flan za dukan enz hzo ziliitwa ndopu mamaa a a a hatar 2pu, wapi zile choki kipnd hicho ukipiga na nguo za dukan maarufu kama full jeans bas ni utata m2pu unatokelezea mwenyew bila hiyan unang'aa mtaan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom