Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,637
- 3,353
Kumekuwa na Radios na.Television channels nyingi lakini kwanini programme zao.za.vipindi.nyingi hazina tija au maana sana na.haziko practical na mazingira ya tanzania. Mfano Muda clouds wanarusha vijembe leo tena na redio karibu zote za fm zinarusha.vipindi vinavyofanana na hivyo sijui dida mitikisiko,zembwela.
Kuna msouth na mwingereza watu wa kanisa wote wanajua kiswahili waliwahi kusema mbona redio zetu nyingi zinapoteza muda kuongea vitu havina tija kwa mtanzania wa kawaida.
Hata elimu ya afya tuu,.kuzuia kipindupindu,ulimaji wa bustani,utunzaji wa mazingira. Leo ukienda kwenye.public toilets.zetu nyingi.ikiwemo hata za serikali.za.mtaa wanakopewa dawa za fumigation.bure ni aibu.
Kama radio programmes wetu wanatoka kenya na kukamatwa wanhifadhi watu bila vibali vya ukaazi refer Lydia igarabuza wa eatv kweli kutakuwa na vipindi bora.
Niwape pongezi tvz, tbc etc.
Redio zetu hao wakina dina marios sijui leo tena wasipoteze muda mwingi kuongea umbeya bali waelimishe jamii kupiga hatua.
Kwanini tusisikie haki za msafiri kwemye leo tena, haki ya mwananchi anapokamatwa na sean paul, arrest warrant, nini maana ya phd kuna amazing subject zaidi ya fulani mchawi, kafumaniwa, mtaani hivi na vile
Tinajenga taifa la watu wasio kuwa critical thinkers.
Nawasilisha. # Hapakazitu