Vipi Yanga leo Taifa?

Leo wanapigwa kama kawaida......

Naona jukwaa la Simba kule mmekuja na vigoda, miswala na mikeka....

Hakuna viti kabisa baada ya jana ninyi simba kuvivunja...
 
Naona jukwaa la Simba kule mmekuja na vigoda, miswala na mikeka....

Hakuna viti kabisa baada ya jana ninyi simba kuvivunja...

Hahahahahahaaaaa...!!! nawaona aisee... wengine wamebeba magogo ya minazi...
 



Leo watampiga ngumi mwamuzi na kumkimbiza kama mwizi.
 
Hivi wale waliong'oa viti uwanjani walikiwa mashabiki wa timu gani?!
 
i hate yanga kutoka moyoni

Ili usiendelee kuumia moyoni mwako unaonaje ukinywa sumu ili ufe kabisaa kwa maana YANGA iilikuwepo tangu jana na hata leo ipo na itaendelea kuwepo kwa siku nyingi zijazo
 
Naona jukwaa la Simba kule mmekuja na vigoda, miswala na mikeka....

Hakuna viti kabisa baada ya jana ninyi simba kuvivunja...

hahaaaa...this is very fun
 
kwanini hawa yebo yebo wanaongoza?napenda wafungwe hawa...come on JKT Ruvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…