Vipi wazo la kuanzisha betting point?

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Amani kwa kila mmoja.
Natambua kuwa moja ya mbinu ya kutambua wazo la biashara ni pamoja na kuangalia mahitaji ya jamii husika.
Miaka ya karibuni watu wengi(wakubwa kwa wadogo) wanafanya betting kwenye michezo mbalimbali hususan football.
Sasa wajuvi,inawezekana kuwa wakala kama wa premium betting? Na kama inawezekana,
kuna taratibu zipi zinatakiwa zifuatwe ili kuwa wakala? Na mchezo wenyewe unaendeshwaje,na faida inakuwaje?
 
Jamani,wenye uzoefu na hiyo bussy,naomba michango ya mawazo.
 
Back
Top Bottom