bidodo, yani kwanza em jipende wewe na kujali hisia zako first,maana smtyms kuwa selfish ni kitu kizuri sana,kujithamin mwenyew kwanza.
Coz unaonekana unajali hisia zake kwanza,kiasi kwamba ukijiingiza kwenye mapenzi(kama bado),utateseka sana kihisia.
Yeeye kasema anakupenda,uende kwake..ok,ujiulize je wewe unampenda?upo tayari kuwa na mahusiano kwa sasa?upo tayari kuwa nae?kwanin mkutane kwake,what so special?kwanin msimeet kwingine kama hakuna shida yoyote?!!
Kumbuka shetani na kamati yake,wameshashona sare,na huyo jamaa washamuandaa wanakusubiri wewe bi harusi,mkafunge ndoa gizani..kuwa private ,gizani, na mtu wa jinsia tofauti ni risk kubwa sana....(mama yangu aliniambia hili)..:tafakari Chukua hatua mdogo wangu..
Nb: usijali wanaokunanga hapa,ni chuya ktk mchele,we pepeta usonge mbele. Ushauri ni mwingi,maamuzi ni yako dear.
Goodlucky.