vipi utaamini mwanaume anakupenda?

vipi utaamini mwanaume anakupenda?

kwan miaka 20+2= 18+4....???hata katiba ya jmt ishasemagaaaaa...ww mtt duuu...?
ww nenda 2 hana madhara huyo....afu atakuwa mtt ka ww kaiyo hajui mambo ya kikubwa..
 
22 wewe si mtoto,hata katiba ya jmt imeweka wazi.
NENDA TU,kisha uje utuelezee YALIYOJIRI :mimba::dance:

Acha uongo mkuu mtoto anakuwa na umri wa miaka 22?
Na mwenye umri chini ya miaka 18 ataitwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
usiende mwayego, anza nae maongezi ya open space utamgundua even for 4 months utakua ushamsoma kidogo
 
ni msichana wa 22 ila akili yangu bado ya kitoto kuna mtu kasema ananipenda ni 2 month sasa na kasema haridhiki mpaka niende kwake hivi kweli ananipenda miii naogopa kwenda mnanishaurije??kasema kama sijenda simpendi wala hatonifanya kitu kibaya.


Kipimo cha kupenda sio kumridhisha kwa kwenda kwake.........we unampenda? Manake hujafunguka vizuri
 
Yap hatakufanya kitu mbaya utampa mambo tu, kumbuka ndomu
 
asanteni sana wapendwa nimeelewa na sasa nashuhulikia moja tooo kusoma siendi kwake na yeye nimemueleza kasema simpendi ila nimeachana nae
 
unaweza ukawa na miaka mingi lakini ikawa bado akili haijatulia usinilaumu si kosa langu
 
kAMA bado ujamuamini omba company kwa mashoga zako ukienda kwake uwe unaenda nao mpaka utakapomuamini.
 
asanteni sana wapendwa nimeelewa na sasa nashuhulikia moja tooo kusoma siendi kwake na yeye nimemueleza kasema simpendi ila nimeachana nae
Wewe bidodo, mara hii umeshasahau kama nilikwambia nakupenda na unisubiri??? Nani huyo ameanza kukudanganya kuwa anakupenda tena?! Hebu mpotezee banaa... bado kdg narudi halafu nitakuonyesha namna ya kupenda na kupendwa... Sawa mtoto mzuri eeh?
 
ni msichana wa 22 ila akili yangu bado ya kitoto kuna mtu kasema ananipenda ni 2 month sasa na kasema haridhiki mpaka niende kwake hivi kweli ananipenda miii naogopa kwenda mnanishaurije??kasema kama sijenda simpendi wala hatonifanya kitu kibaya.
we mdada acha kutudanganya sie watu wazima ! kama una akili ya kitoto umewezaje kuhisi kitu wakati kijana wa watu
anakuita mzungumze mambo mengine kabisa, kama umeweza kupambanua alichonacho kichwani huyo njemba basi we una akili iliyopevuka kabisa
ushauri wangu ni kwamba ;'YOU HAVE TO LISTEN TO YOUR HEART'
 
daaah yan umekutana nae wewe mwenyewe, pia umeshindwa kumuamini wewe mwenyewe, then unataka watu ndo tukuaminishe kwamba anakupenda au vipi sio...? kama haujaaamini by now then u'will never kumuamini..halafu maswala ya mapenzi inakuaga ngumu kumuamini mtu kwa 100% lazima ujiwekee asilimia kadhaa za just incase hivi mambo yakizingua..ova..maana hata kivuli chako hua kinapoteaga samtyms..so changanya na akili zako hapo...awkei...
 
Back
Top Bottom