vipi utaamini mwanaume anakupenda?

vipi utaamini mwanaume anakupenda?

we bado una akili za kitoto subiri ukue au na wewe unataka kusimulia utamu wa nanii....................................
 
anakupenda halafu uende kwake usipo kwenda humpendi duuuu...one step ku- head mdogo wangu kama kweli anakupenda awez hakakuwekea condition uyu mchafuaji tu...ww ujui kusoma hata picha tuuuu....bt kama unapenda nenda na mtuuuuuuuu...:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Siku hizi watu hawaendagi kwa watu tena mdogo wangu. Muambie mkutane bar kwenye mbuzi choma, ama kama anamudu mkutane karambezi. Ukienda kwake atakuomba umsaidie kuosha vyombo na kufua nguo.

Anyways, kuimbishwa miezi miwili ni muda mrefu sana eh?

Wacha kufukuza ndege bana, we uoni jamaa kashatega urimbo na ndege ndio ivo anaelekea mtegoni?
 
fata moyo wako ukitumia akili yako vizuri, umri wako unatosha kutambua, siwezi sema usiende kwake wakati unampenda na wala siwezi sema nenda kwake wakati unaogopa!
 
Usiende, huyo anakulia timing . Ukijichanganya tu anakula mzigo
ni msichana wa 22 ila akili yangu bado ya kitoto kuna mtu kasema ananipenda ni 2 month sasa na kasema haridhiki mpaka niende kwake hivi kweli ananipenda miii naogopa kwenda mnanishaurije??kasema kama sijenda simpendi wala hatonifanya kitu kibaya.
 
mmmmmmh usiende maana ukienda 2 umegegedwa, na nia yake ni kuonja 2 kama ni tam au chungu
 
unataka kujua kama mwanaume anakupenda? very simple kama mwanaume anakupenda atakuambia mwenyewe kama anakupenda. kwani toka upevuke hadi leo wanaume wangapi walishakuambia wanakupenda? very few so ni kweli aliyekuambia anakupenda
 
ni msichana wa 22 ila akili yangu bado ya kitoto kuna mtu kasema ananipenda ni 2 month sasa na kasema haridhiki mpaka niende kwake hivi kweli ananipenda miii naogopa kwenda mnanishaurije??kasema kama sijenda simpendi wala hatonifanya kitu kibaya.

hivi wewe huna kazi ya kufanya hadi unapata muda wa kwenda kwa mtu ambae hujui anakuitia nini? nenda kamuonyeshe kuwa unampenda na inaonyesha hata wewe unataka ile kitu.
 
msimtishe mwenzenu...muacheni akajivinjari na mwenza wake....NENDA MWAYEGO
 
Nimestaajabu jinsi ulivyotambua una akili za kitoto kwani ni ngumu, ngumu sana. Ila kwa utoto wako umejiingiza mapema kwenye huu ulimwengu wa mapenzi. Ushauri kama upo shule/chuo zingatia masomo kama sio na hujabahatika zingatia kazi zako za kila siku, kwa utoto wako hadi utakapowajua wanaume na asali itakuwa imeisha na hutawaona tena.
 
mmmmmmh usiende maana ukienda 2 umegegedwa, na nia yake ni kuonja 2 kama ni tam au chungu

Ila prianka, mbona mtoto mwenyewe kama anataka sitaki, anataka kupima uwezo wetu wa kushauri ila sio kushaurika
 
HE he he, nataka mtori orijino na chapati za kusukuma

Sio mambo ya T-bone with Butter naan au badala ya mtori unaeletewa "mushroom soup'

Upo mtori spesho. Unakuwakwenye pakti ya unga, wanakoroga jikoni two minutes unapata kitu na box. Shida unanukia kihindi, labda ubebe parachichi lako kwenye handbag.
 
Huyo jamaa ana umri gani? Kama na yeye bado ana akili za kitoto kama za kwako bora uende tu mkacheze michezo ya kitoto mara nyingi huwa haina madhara.
 
Back
Top Bottom