Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
1. Simba mwendapole... Huyo ni Sharobaro
2. Asiyefunzwa na *****.. Ujue Mama hajapitia Ualimu
3. Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehemu
4. Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio
5. Hakuna Masika.. Wakati wa Kiangazi
6. Mpanda Ngazi.. Asiwe Mwoga kuanguka
7. Ukitaka cha Uvunguni.. Usishangae ukikuta ni Kichafu