Vipi tour ya msanii wetu itakuwepo kweli?

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Hivi ile tour ya msanii wetu ambaye ni kipenzi cha watu aka king kiba itakuwepo kweli au zilikuwa kiki za msimu maana sioni mwamko au mapromoter wamelala mbele wanaogopa hasara maana nyimbo zenyewe mwisho chalinze
 
730f201873f5765b9a7878ffbde4438e.jpg
d41718920e89d8eeb1c2d1850061d81b.jpg
b01455d820ecbe8ddf21fcf88a1c363d.jpg

Next time usifungue uzi za kipuuzi kama hizi kama huna cha kupost soma zilizopo mkuu
 
Unatangaza tour wakati hauna venue wala tarehe haieleweki ni lini. Huyu mhuni arudi kucheza soka mziki umemshinda
 
Asiishie Kupost Graphics Tu Matangazo, Ahakikishe Anapost Na Show Zote Atakazofanya, Mimi Ndo Nasubiri. Ali Kipenziii Cha Watuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom