Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Hivi huko Uturuki kuna nini hasa? mara Shein, mara Bilali. Ni nini wanachokifuata uturuki kila kukicha? na kiongozi mmoja hawezi kufanya hiyo kazi badala ya kumchosha mwenyeji hao na hodi hodi?
Kuhusu itikadi za vyama nafikiri kila mtu yuko huru.kwa mfano kama angevalia mvazi ya kidini napo tunyesema anatangaza imani yake?siku itafika mwenyewe atavichoma moto vyote
Bora umemalizia kuwa nadhani. Ni secular state na si vinginevyoturkey ni njii ya kiislamu nadhani...
Kweli kusoma si kazi, kazi kusomesha! Hata profesa anachenka hivi hata mi wa sekondari ya kata nimeshituka, najiona nastahili kuhamishiwa CV yake...khaa!! Siku ataenda na nje kavaa fulana ya M-pesa huyo loh..