Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,427
Halafu unatakiwa uheshimu Taifa letu. Haiitwi Jumuiya. Kama wewe ni mbumbumbu sema tukuelewesha. Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.Lowassa Kushikwa ni hatua gani hiyo ya serikali ya Jumuiya ya Tanzania?
Sawa Annael, sijasema kwa ubaya! Ila nimeshangaa hao askari wenu wanavyowapiga Watanzania! Hapa Kenya hata harassment pekee, huyu askari anawekwa ndani!! huyu hapa aliwekwa ndani!Halafu unatakiwa uheshimu Taifa letu. Haiitwi Jumuiya. Kama wewe ni mbumbumbu sema tukuelewesha. Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Lowasa sio kiongozi wa upinzani, ni mjumbe wa kamati kuu ya chama cha upinzani. Alafu ni waziri mkuu mstaafu, technically bado analidwa na state. Kama akiwa sehemi ambayo ni hatari, usalama utafana kila kitu ili kumlimda. Kifupi haku kamatwa ila ameokolewa kwa usalama wake. Huyo siyo Besigye au Joho.Halafu huyo Lowassa ni kiongozi mkuu wa upinzani na mgombea urais 2015.
Ni kama leo useme unamkamata Raila Odinga kisa amesimama sehemu kuwahutubia wananchi, halafu uone shughuli yake Kenya.
Kweli tumetoka mbali.
Video inaonesha kivingine? Mbona basi kama ni hivyo watu wachapwe? Tena hivi mwenyewe hataki, na watu wanataka kumsikiza? Iwe ametishiwa usalama na nani? Joho hakushikwa jamaa! Ilikuwa misinformation za siasa tu! Alienda kumtetea mtu kwa polisiLowasa sio kiongozi wa upinzani, ni mjumbe wa kamati kuu ya chama cha upinzani. Alafu ni waziri mkuu mstaafu, technically bado analidwa na state. Kama akiwa sehemi ambayo ni hatari, usalama utafana kila kitu ili kumlimda. Kifupi kamatwa ameokolewa kwa usalama wake. Huyo siyo Besigye au Joho.
Ungeoma longer version ungelewa, watu wali block barabara wanata mkuu ashuke waonge wao, it wasn't kwenye police list of places mkuu alitakiwa kusimama, who knows hapo kuna nani. Kama kuna mtu angetaka kufanya kitu mbaya police ndio wange laumiwa. Na watu tena sana opposition wanafikiri amemkaza but it's more all about security. Wangetaka asimane wangetoa taarifa mapema. Najuwa hata Kenya kwa viongozi wakubwa ni hivyo hivyo.Video inaonesha kivingine? Mbona basi kama ni hivyo watu wachapwe? Tena hivi mwenyewe hataki, na watu wanataka kumsikiza? Iwe ametishiwa usalama na nani? Joho hakushikwa jamaa! Ilikuwa misinformation za siasa tu! Alienda kumtetea mtu kwa polisi
Hehehe! Nimependa hii spin, yaani unamburuza mkulu hadi kituo cha polisi kisa unamlinda, Afrika bana.Lowasa sio kiongozi wa upinzani, ni mjumbe wa kamati kuu ya chama cha upinzani. Alafu ni waziri mkuu mstaafu, technically bado analidwa na state. Kama akiwa sehemi ambayo ni hatari, usalama utafana kila kitu ili kumlimda. Kifupi kamatwa ameokolewa kwa usalama wake. Huyo siyo Besigye au Joho.
Sijui kwanini, nilijua utasema spin, kama sio wewe bado mwingine. Lakini ukweli ndio huo, huko ni remote place karibu na boda ya Rwanda, kituoni ndio sehemu salama. Kama angekamatwa si ugesikia kwenye magazeti? Halafu hata hapa, Chadema mara nyingi waambiwa na polisi wakipelekewa kituoni na wao kwa miguu miwili wanakwenda.Hehehe! Nimependa hii spin, yaani unamburuza mkulu hadi kituo cha polisi kisa unamlinda, Afrika bana.
Haya bwana..... Itakua labda unasema kweli maana Watz sijaskia wakipiga makelele, au ndio zile zao za kuwa wapo wapo tu.
Kenya hapa gavana Joho kajipeleka peleka kituo cha polisi kwa vurugu na kurusha Twitter eti amekamatwa halafu ikawa makelele nchi yote.
UkapimweLowassa Kushikwa ni hatua gani hiyo ya serikali ya Jumuiya ya Tanzania?
Ndio hiyo Tanzania ya Vibanda
Hapo ndipo nawakubali wakenya huku kwetu tz bado sana,kuna watu wanajiona ni Miungu huku.Halafu huyo Lowassa ni kiongozi mkuu wa upinzani na mgombea urais 2015.
Ni kama leo useme unamkamata Raila Odinga kisa amesimama sehemu kuwahutubia wananchi, halafu uone shughuli yake Kenya.
Kweli tumetoka mbali.