Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Msipende sana pesa wadada zangu. Juzi nilianza kuchat na dada moja yapata muda wa siku mbili. Baada ya siku mbili aniletea shida ya pesa na matatizo chungu nzima. Muwe waungwana wadada zangu.
 
no nono pesa kwanza mapenzi badae... dont do a mistake
 
Vipi kale kahela kangu nilikokukopaa aiseee ilirudishee
 
Hivi ulikuwa wapi siku zote? nipm nikupe zawadi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…