Vipi sasa kuhusu ile laki 3

laussane

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Posts
255
Reaction score
132
Nipo ofisini,

Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya kwangu service 60,000 tu.

Sasa nimeamua kumpiga chini, jana nimemwambia naona tuvunje mahusiano yetu nitakupotezea muda naona hatufanani kifkira, kajibu noted vipi sasa kuhusu ile laki 3?

kwa style hii wanaume watatukimbia sana jamani wanawake wenzangu mapenzi kwanza pesa baadae.
 
sasa hapo cha ajabu nini?!..kuachana poa,ila vipi sasa kuhusu ile laki 3...hahaha
 

hao wala huwa hawana mapenzi bwana, mtu unaempenda huwezi kumfanyia hivyo alafu kuna msemo ukiona mwanaume humtaki lakini yeye kakung'ang'ania anza kuomba hela we omba hela tuu atajitoa mwenyewe
 
hao wala huwa hawana mapenzi bwana, mtu unaempenda huwezi kumfanyia hivyo alafu kuna msemo ukiona mwanaume humtaki lakini yeye kakung'ang'ania anza kuomba hela we omba hela tuu atajitoa mwenyewe


hahahaha uwa inawork hiyo shost? mana wengine wazuri wa calendar nitakupa kesho, nitakupa keshokutwa na zinapita sikuzote kimya kasahau kwanza
 


Pse send this SMS Loudly!!!!!
 
hahahaha uwa inawork hiyo shost? mana wengine wazuri wa calendar nitakupa kesho, nitakupa keshokutwa na zinapita sikuzote kimya kasahau kwanza

kadri anavyopiga kalenda na wewe unampiga kalenda ya kuonana nae, mwisho wa siku ataelewa tu ndo wanaishia kutuma msg ooh me naona tuvunja mahusiano na majibu yanakuwa kama hayo "noted", hivi mwanamke anaekupenda kweli umwambie tuachane ajibu kirahisi hvyo thubutuuu
 
kama bado anataka pesa, twende gesti nikamsugue nimmpe.
 
kama bado anataka pesa, twende gesti nikamsugue nimmpe.

Kwa faida gani? Kama nataka kumpa hela nampatia tu lakini si kwa kuexchange na papuchi inadhalilisha sana hata kwa upande wangu, sijapungukiwa kiasi cha kushurutisha kupata papuchi kwa hela!
Pia nikiamua kuwa ni ombaomba na hana mapenzi, she is free to go na aniache free pia sio na strings za ajabu!
 
mkuu wewe dau lako ngapi? au mapenzi kwanza then sabuni ya roho!
 
Tafuta Wa Saizi Yk Mana Wa Saiz Yk Hyo Laki Tatu Angeomb May Be She Has Serious Problem Or Anataka Akaongeze Mtaj Wake!Au Labda Wewe Ni ATM!
 

Hahahaaaa duu noma sana cc miss chagga christine ibrahim Heaven on Earth na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…