tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na malalamiko kwamba, Gazeti hili limenunuliwa na Mafisadi, wakaendelea kudai kwamba Lowasa hawezi kuandikwa tena. Lakini leo asubuh limetoka na kichwa kisemacho "zimwi la richmond bado lamwandama Lowassa."....tunasubiri mseme limenunuliwa na akina Sitta na Mwakyembe kutokana na hii habari.