Vipi mshahara wa November?

Ukitoka mlete mrejesho, mie niko hapa dukani kwa Mangi nausubiri huo MSHAHARA😉
 
Haya ndo madhara ya kusubiri mishahara..........au utakua kati ya wale 120
 
Mshahara unauliziwa tarehe 22?kweli maisha yamebana,watu walikuwa wanakaa mpaka wiki ya kwanza ya mwezi mpya ndio anacheki salio.
 
Sasa mbona wanatoa mapema wakati mshahara wa mwezi wa kumi haujaisha
 
Jamani dk. John na dk.beno ndulu hawana fedha,hawataki kuwa wazi wanadhani wakisema tutawacheka nyongeza ya?mshahara bado ni ndoto
 
Badala ya kuconcentrate kwenye kufanya kazi unaconcentrate kuchungulia mshahara![emoji30]......unamaanisha Makonda kuwaita ninyi watumishi wa serekali kuwa ni majipu sugu yupo sahihi???[emoji30] ........huh?[emoji17]
 
Acha ujinga Leo tarehe 22 unauliza mshahara???!!!!
 
Aina za mshahara
1.Kimshahara
2.Kamshahara
3.Tumshahara
4.Mshahara
5.Jimshahara
6.Limshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…