Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Nov 22, 2016 #1 Habari, Watumishi vipi mshahara wa November umeshatoka au bado?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,840 Nov 22, 2016 #2 Pigeni kazi, leo tarehe 22 mnauliza mshahara jamani?
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Nov 22, 2016 #3 Umefanyaje? Unataka kusema hampewi?
FORCE NAMBA JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 937 Reaction score 328 Nov 22, 2016 #4 Kungekuwa na tarehe maalumu ya kutoka mshahara Mara 22,23,25.28 kwa hiyo usipokuwa care unadhalilika
N ndeambase JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 626 Reaction score 312 Nov 22, 2016 #5 Na sijui kwa nini mishahara kwa watumishi wa umma hatujaongezewa yani No any changes
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,678 Reaction score 12,094 Nov 22, 2016 #6 Mtanyooka tu nyie mpk mtie akili
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Nov 22, 2016 #7 Usitarajie mabadiliko yoyote ya mshahara mwezi huu
Mcheza Karate JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 690 Reaction score 354 Nov 22, 2016 #8 ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING?
N ndeambase JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 626 Reaction score 312 Nov 22, 2016 #9 Mimi kwa uelewa wangu hadi sasa uchumi utakua vizuri serikalini lakini kwa wananchi wa kipato cha chini noooooo hamna kitu ni fedheha tupu
Mimi kwa uelewa wangu hadi sasa uchumi utakua vizuri serikalini lakini kwa wananchi wa kipato cha chini noooooo hamna kitu ni fedheha tupu
K Kyampisi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 266 Reaction score 187 Nov 22, 2016 #10 Upo bwana Mbingo?
Gaspare Mbile JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 1,567 Reaction score 1,605 Nov 22, 2016 #11 Aisee njaa imetahamaki,nawatamani sana mnaoulizana mishahara nipo kitaa sina hata buku.
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Nov 22, 2016 Thread starter #12 Mcheza Karate said: ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING? Click to expand... Kwani shida ni ipi kwani kila mtu amejiunga
Mcheza Karate said: ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING? Click to expand... Kwani shida ni ipi kwani kila mtu amejiunga
KIBEHA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 259 Reaction score 130 Nov 22, 2016 #13 Walikua na mkataba wa kuongezewa mshahara mwezi huu? nauliza tu, mie mtembezi nilikua mtaani ndio nimerudi
Walikua na mkataba wa kuongezewa mshahara mwezi huu? nauliza tu, mie mtembezi nilikua mtaani ndio nimerudi
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,840 Nov 22, 2016 #14 Kazi kweli
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Nov 22, 2016 Thread starter #15 Kyampisi said: Upo bwana Mbingo? Click to expand... Ndio
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,553 Nov 22, 2016 #16 Kweli ukiajiriwa unakuwa na njaa hivi? Kweli serikalini mnabweteka wengi
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Nov 22, 2016 #17 Umetoka... Npo hapa nakata kiu...
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 281 Nov 22, 2016 #18 kwa hyo unatagemea mshahara tu bwana mbingo
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Nov 22, 2016 Thread starter #19 essaugervas said: kwa hyo unatagemea mshahara tu bwana mbingo Click to expand... Ndio
Ghosryder JF-Expert Member Joined Jul 6, 2014 Posts 10,708 Reaction score 4,576 Nov 22, 2016 #20 Mbingo said: Habari watumishi Vp Mshahara wa November Click to expand... Umetumwa?