Vipi mishahara tayari?

Vipi mishahara tayari?

Mshahara umeshatoka tokea jana
Ni kweli mshahara umetoka ila hakuna cha nyongeza wala nini! Hata ile nyongeza ya mwaka iliyoahidiwa kutolewa naona haipo, labda kama watakuja kuitoa kwenye mshahara wa mwezi wa nane!
 
Back
Top Bottom