Vipi Kwa Kozi Hiyo.. Kuna Kupata Kazi Hapo? (Certificate Of Liblary And information of Technology)

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
kuna dogo Langu lilimaliza Mwaka Jana Form 4,Nafikiria Kulitupa Huko!
Mnaiona Iko Vipi Hii Wakuu?
 
sipendi kusema inalipa au hailipi kwani mimi sijui chochote hapo, ila kile ninachoona kitakusaidia wewe au huyo ndugu yako nitakisema.
1. Kaa na kijana ujue njozi zake. Hii itakupa wewe fursa kuweza kumshauri kulingana na fursa zilizopo kwa sasa na uhitaji wa baadaye. Pia itamsaidia kijana kufanya kile anachokifanya akiwa na ufahamu wa ni jinsi gani kitaadhiri mustakabali wa maisha yake hapo baadaye
2. Kamwe usimlazimishe. Usimfanye asome kwa sababu wewe unataka yeye asome kozi fulani bali kwa sababu yeye mwenyewe kwa hiari yake amechagua hivyo.
Kidogo naona kama nasinzia naomba nikipata muda nitaongeza kitu katika hili.
 
Engineering, Medicine/pharmacy, IT(Software/technology) may be na Accounting. Hizo ndizo fields ambazo Tanzania na popote pale duniani hutakufa njaa aidha kiajira ama kujiajiri mwenyewe.
Lakini huo ungwini sijui criminal justice, political science, sociology, psychology, library info, journalism etc. ni fields ambazo ajira zake ni mgogoro sana na hata kujiajiri ni kizungumkuti.
Just a piece of advice!
 
Hapa ndo tunapo kosea kabisa, hakuna kozi mbaya wala nzuri , hapa ishu ni utakavyo tumia hiyo elimu uliyo ipata, wapo watu wana hadi Master za IT wako nyumbani watu wana Degree za acounting wako home, na kuna watu wamesoma hizo kozi zinazo zarauliwa lakini wako mbali sana,

Kikubwa ni mwanafunzi mwenyewe kuona atatumia vipi hiyo kozi katika kubadili maisha yake? iwe ni kujiriwa au kujiajiri, Mfano mtu anaweza soma Degree ya mabo ya Historia watu wakaanza kumcheka lakini kuna mataasisi kibao za nje unakuta zina mwaga pesa kwa watu wa kuwafanyia tafiti za kihistoria,

SO HAKUNA KOZI NZURI WALA MBAYA, ISHU NI VIPI UTATUMIA HIYO ELIMU YAKO?
 
Mpaka Hapo Mkuu!Nimefaidika Vya Kutosha Kwa Huo Mchanganuo Wa Elimu Fani!!
Nitashughurika Na Hilo Pia!
 
Engineering, Medicine/pharmacy, IT(Software/technology) may be na Accounting. Hizo ndizo fields ambazo Tanzania na popote pale duniani hutakufa njaa aidha kiajira ama kujiajiri mwenyewe.
Lakini huo ungwini sijui criminal justice, political science, sociology, psychology, library info, journalism etc. ni fields ambazo ajira zake ni mgogoro sana na hata kujiajiri ni kizungumkuti.
Just a piece of advice!

Ni Kweli Uyasemayo Mkuu!
Hiyo Yote Ni Changamoto Kwa Wana Art!
 
Heading ni kazi ulimaanisha nini kusema information of technology
 
Hapa ndo tunapo kosea kabisa, hakuna kozi mbaya wala nzuri , hapa ishu ni utakavyo tumia hiyo elimu uliyo ipata, wapo watu wana hadi Master za IT wako nyumbani watu wana Degree za acounting wako home, na kuna watu wamesoma hizo kozi zinazo zarauliwa lakini wako mbali sana,

Kikubwa ni mwanafunzi mwenyewe kuona atatumia vipi hiyo kozi katika kubadili maisha yake? iwe ni kujiriwa au kujiajiri, Mfano mtu anaweza soma Degree ya mabo ya Historia watu wakaanza kumcheka lakini kuna mataasisi kibao za nje unakuta zina mwaga pesa kwa watu wa kuwafanyia tafiti za kihistoria,

SO HAKUNA KOZI NZURI WALA MBAYA, ISHU NI VIPI UTATUMIA HIYO ELIMU YAKO?

Hii Nayo Inahusu Mkuu!
 
Hakuna jambo baya kama kumwambia mtu kuwa kozi fulani inalipa. Ebu sikiliza yeye dogo ana ndoto gani halafu umpeleke. hii itamsaidia kusoma kwa moyo wake wote na hata akichelewa kupata ajira bado atakuwa na matumaini ya kupata na hatajutia. Pia hakuna kozi ambayo hailipi kozi zote hasa za mwanzoni humwandaa mtu kukabiliana na changamoto mbalimbali, so unaweza kukuta mtu amesoma tourism na anafanya kazi ya Loan officer. Kuna mtu ambaye namfahamu ana adavnced diploma ya IT lakini anafanya kazi km power maintenance technician na ni kazzi ambayo alifundishwa na mtu tu kwa sasa ana miaka minne akiwa anafanya kazi hiyo ya umeme. Siku moja aliniambia kuwa yeye alisoma IT kwa mkumbo wa ndugu zake kwa sababu watu wote ktk ukoo wake wamesoma IT naye akafuata mkumbo eti IT ina market sana lakini alipomaliza masomo alikaa 2yrs bila kupata kazi lakini alipata mtu alieamua kumfundisha kazi za umeme sasa hivi ni fundi mzuri. Kwa hiyo tusisome kozi fulani kwa sababu zinalipa unaweza kufika mahala hiyo kozi unayoona inalipa ikawa janga kuu kwako.
Thanks
 
umeeleweka Kiongoz...Ushauri Mzuri Nitaufanyia Kazi!
Shukrani!!
 
kuna dogo Langu lilimaliza Mwaka Jana Form 4,Nafikiria Kulitupa Huko!
Mnaiona Iko Vipi Hii Wakuu?

:biggrin1: inaelekea anakukera maana unavoliiongelea hapo....kwanini asiendelee mpaka form 6? au ikibidi na zaidi?
 
Back
Top Bottom