Vipi kuhusu htc

Vipi kuhusu htc

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
habari jf,kuna simu nimeletewa kwa ajili ya kununua inaitwa htc model yake sijaijua ila ina slide.sijawahi kutumia simu kama hii.mwenye maujuzi nayo naomba anijuze,ubora wake udhaifu wake nk.na je housing yake inapatikana na betri zake zipo.na mengi mengineyo ambayo sijayauliza mnaweza kuniongezea.nasubiri wajf
 
mkuu inge kuwa vizuri zaidi ungejua na model yake, ila kifupi ni kuwa HTC ni moja ya kampuni inayo zalisha simu bora kabisa duniani kwa sasa na bei zake zimesimama,
Mimi ninayo ya kizamani kidogo HTC Hermes - XDA-Developers windows 5 lakini hadi leo inapiga mzigo safi kabisa, kuhusu spea zipo lakini bei ipo juu kama ilivyo kwa simu zozote expensive
kwa msaada zaidi kujua model ya hiyo simu kwa walau kuangalia kwa macho kama yenyewe tembela forum hii Main Page - XDA-Developers tazama kama ipo katika picha kisha bofya for more infor, mimi naitumiaga kutatua matatizo madogo madogo ya simu yangu.
check na hapa http://forum.xda-developers.com/index.php
 
Ni simu nzuri na bora. Mimi nimeshakuwa nazo mbili. Ila uwe mwangalifu kwa vile kama kawaida zipo ambazo ni fake. Kwa maelezo zaidi nenda kwenye website yao.
 
kwani hakuna njia yoyote ya kujua ni model gani? nimejaribu kutoa betri kuna sehemu imeandikwa htc innovationn
 
ni htc herm200 naomba mnimwagie maelezo zaidi juu ya ubora au udhaifu wake na je betri na housing zake zinapatikana? kwa mfano ikipigwa simu napokea kwa kuifungua na sio kwa key za nje nimeambiwa ni setting zilikuwa zinafanya kazi kama kama kawaida
 
Mkuu ni simu nzuri but for me naona kam
 
nashukuru sana mkuu kwa msaada wako nimeambiwa betri zake zipo ila housing zake ndo issue.lakini sentesi yako mkuu inaonekana hujaimalizia
<p>
Mkuu ni simu nzuri but for me naona kam
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
nashukuru sana mkuu kwa msaada wako nimeambiwa betri zake zipo ila housing zake ndo issue.lakini sentesi yako mkuu inaonekana hujaimalizia
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
Simu nzuri sana mkuu. safi kabisa kwa kila kitu.

Housing si unaagiza tu mkuu.
 
Back
Top Bottom